jamani nipen ushauriiiii

jamani nipen ushauriiiii

Joined
Jan 16, 2013
Posts
45
Reaction score
5
hbari za sa hzii wapendwaaaw
mimi nina mpenz wangu tangu tuanze mahusiano hayo ni kama miaka 2 sasa imefika
lakini siku hizi simuelewi kwasababu ilikuwa kila mwezi lazima ni sex naye lakini nowdays
imepitaa miezi miwili sasa aonyeshi kunijali kabisa tofauti na mwanzoni lakini hii sio shida
niliaanza kuhisi kuwa kuna kajamaaa kashachukuliya,kuna siku alichelewa kurudi nyumban
nika muuliza ulikuwa wapi eti akaxema alikuwa nA kikao cha siri na bosi!!!wake baada ya hapo nilikaa kimyaa kuendelea kuchunguza cku moja alikuwa amesahau cmu nyumbani kwa hiyo nikasema ngoja niiangalie message kucheki kweny outbox yake alikuwa amemuandikia bosi wake "hapana wangu cwezi kuja hapo pabaya" ilikuwa mdaa wa saa tatu na nusu ucku ilikuwa imeeandikwa,kwa kufikiri kwangu ni kwamba bosi wake alikuwa anamuitaji midaa iyo ya ucku. basi kuna ndugu yangu anafanya kazi naye pamoja ni karibu na maeneo ya nyumbani nikamuuliza bosi wenu bado hajaondoka mpaka sa hvi akaniambia ndio bado yupo hadi ucku huo lakini ofisi ilishafungwa mdaaa.

jamani hapa cku na mahusiano kati ya mpenz wangu na bosi wake au mnafikiria nn??:A S cry:
 
kha!!! kweli mwana boss anamgegeda demu wako....ebu muombe threesome na boss wako maana anapenda dushelele zenu wote
 
Ongea na mpenzi wako...chelewa chelewa huumiza matumbo!!
 
acheni kumfariji huyu kijana eti aongee na mpenzi wake. aongee nini wakati iko azi kabisa kwamba binti anatembea na boss wake??

sasa hapo utajua nini cha kufanya mnake ni kama vile nyie ni wapenzi mnaish pamoja uchumba sugu sasa kama wewe ni tegemez kwa huyo binti utaisoma namba ya kegete. laa kama unamaamuz magumu basi achana nae upesi hakufai kwasasa
 
mbona hiyo stori hamna ushahidi wa mojakwa moja ,we endelea na uchunguzi na uzidishe mapenzi hadi ajishtukie
 
pole kijana tafuta mwingine huyo c wako.
 
mbona hiyo stori hamna ushahidi wa mojakwa moja ,we endelea na uchunguzi na uzidishe mapenzi hadi ajishtukie

unataka mpaka wagandiane ndio utakuwa ushahidi??hata mahakamini ushahidi wa mazingira unakubalika...
 
Ukiona MANYOYA.........hebu malizia
 
Ongea na mkeo wewe maana tayari ameishaanza kutoa huduma nje na kama hali yako sio nzuri kimaisha basi ni bora uanze mbele tu
 
Kazi ya chupi!

Mleta mada pole sana...

Ila nakushauri uchape lapa, hapo huna mpenzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tafuta msichana mwingine, huyo hakupenda ni wazi ana tembea na boss wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom