Hizi ni ndoa au ndoana?

Hizi ni ndoa au ndoana?

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu.
Jeee ni kipi kinasaba?
 
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu.
Jeee ni kipi kinasaba?
Peleka sampuli NDOA kwa mkemia mkuu, huyo anayetoka nje ya ndoa atakupa majibu ya aina ya KINASABA!:iamwithstupid::ranger:
 
Ni vyema ila kwa watu wa mwambai neno kinasaba linafaka sn ww linaweza kua geni ila pitia kamusi ya kiswahili utaliona.
 
Back
Top Bottom