Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Wanajamii hebu nisaidieni kuna tamthilia inaonyeshwa na ITV na EATV inaitwa SIRI YA MTUNGI kiukweli mbona haizingatii vigezo na masharti ya tume ya mawasiliano nchini? Nasema hivyo kwasababu unakuta wanarudia vipindi vyao mchana muda ambao watoto wapo macho! na hata kama ni uck sio muda ambao watoto wamelala je hii imekaaje wakuu??