Shixi889
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 338
- 208
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???
Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!