mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 614 Reaction score 322 Feb 3, 2013 #1 Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 824 Feb 3, 2013 #2 Ni tamaa ya kuzini siku hizi hawapendi ndoa halali eti haileti msisimko.
mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 614 Reaction score 322 Feb 3, 2013 Thread starter #3 Lakini suala tata kwa nn isilete msisimko na mumependana wenyewe mukasomana tabia ndio miaingia iweje usiwe na msisimko na mwenzako?
Lakini suala tata kwa nn isilete msisimko na mumependana wenyewe mukasomana tabia ndio miaingia iweje usiwe na msisimko na mwenzako?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,864 Reaction score 2,157 Feb 3, 2013 #4 Mkuu huu uzi peleka MMU Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums