happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
jaman kwema wanajamvi??/ mm ni mbint nimekua na mahususiano na watu 3 tofauti wote kuishia kunitenda wengine kushindana kitabia tangu mwaka juz nimeamua kuachana na mahusiano na kutumia njia hii ili kujiridhisha mwenyewe pindi naposikia ham ya ku do!! huwa nikifika kitandani najishika ki*** SI***MI mpaka niifikie mshindo naridhika nalala njia nimeeitumia kwa muda wa miaka 2 na nusu na naridhika kabisa mpaka pale nitakapo mpata mwenza wa kuishi nae je wanajamvi nakosea au niko sawa ushauri plsee!!!!