Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Polisi ben, Jan 29, 2013.

 1. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naitwa Ben,{32yrs} mfanyakazi pia nafanya biashara,home ni bongo"changanyikeni ila kwa sasa niko motown kikazi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 20-29 aliyetayari atume sms hapa +255762229824 sipendi utani.akiwa motown au arusha ni bomba zaidi.
   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duh bahati ishanipita mie naishi Mkanyageniiii.
   
 3. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usijali utapata wa karibu yako
   
 4. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani mtaani kwako unaishi na miti tu au? nashindwaga kuamini style hii ya kutafuta wapenzi online.
   
 5. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2013
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,536
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Pengine sifa zake mtaani zina utata sasa anakimbilia mbali kwa wasiomfahamu.
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  wa online si unajua utamiza haja then unakimbia
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,128
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 160
  Polisi? Kikosi cha mizinga?
   
 8. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dada White sio kila mtu anamuda wa kuzunguruka mtaani ww wa kitaa zunguka mtaani kwako ยค
   
 9. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,988
  Likes Received: 1,017
  Trophy Points: 280
  Sasa dogo ikiwa interest yako ni watu wa Mo/Atown na wewe ndo upo kule kule MoTown, mi naona ingekuwa poa zaidi ungeingia mtaani tu ukawatafuta kuliko kusumbua na kuzingua dada zetu hapa JF.

  Sifa kubwa ya huyo demu ni ipi, au ndo akiwa 20 to 29 tayari kesha qualify?

  We unataka umemalize haja zako tu kisha ule kona, huna lolote.
   
 10. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lazima utakuwa unauza bangi ww.
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2013
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,749
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  No comment....
   
 12. High Vampire

  High Vampire JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 2,016
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  mkuu post 9 unatafuta mchumba kama umejiunga kwa faida ya kutafuta wachumba nenda love connect wapo wengi sana ila mkuu uwe mwangalifu wengine ni matapeli mapenda hela usishangae ukimpata kipato kinapungua kuwa mwangalifu
   
 13. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio lazima kueleza kila kitu humu,af hilo neno dogo,koma broo
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,128
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 160
  Unapenda bangi ipi?

  Ninazo brand zote

   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,128
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 160
  Kweli wewe uko geshi la bhorishi

  Mkali kama chui mzazi, ila upo hapa unasaka wa kukutonesha utosi, jamani!!!!!!!!!

   
 16. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2013
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 43,293
  Likes Received: 28,180
  Trophy Points: 280
  Mbona mkali hivi???
  bila shaka mke mtarajiwa mabuti yatamhuu....kila laheri!!!!
   
 17. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,988
  Likes Received: 1,017
  Trophy Points: 280
  Haha hahaaaaa! Haya bhana, nimekoma broo, ila huyo your wife to be nae atakoma hapo baadae.

  Kila la heri.
   
 18. S

  Sumu JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2013
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,071
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Kito.mbi kapita hapa.........

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2013
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna dada namfahamu yupo maeneo ulipo,ni muda mrefu sana anatafuta mtu wa kumuoa ila bahati huwa haiji kwake kwani ni mlemavu wa miguu yote pia macho hayafanyi kazi ila nitajaribu kuwasiliana nae ili akutafute na natumai Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wako na wana JF tutakuja kufurahi nawe ewe mzalendo wa mapenzi ya dhati.
   
 20. P

  Polisi ben JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwezi mchanga.
   
Loading...