Leo ni weekend una mpango gani na mpenzi wako

Leo ni weekend una mpango gani na mpenzi wako

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Mnakwenda movie ,fishing ,hunting ,cruising,make love ,skiing ,shooting range,
 
nitakuwa busy completing my unfinished business kuzichangachanga za kuhongea warembo
 
tunajifungia chumbani.. tutacheza kalata tu hadi kunakucha.
 
Mnakwenda movie ,fishing ,hunting ,cruising,make love ,skiing ?

du! kuna watu mna raha huku duniani, wengine hatujui hata weekend ipoje na hatujui hata imefika vip,..
 
kwanza skiing ndo nini?

Kuna na ice skating na snow cruising

kuna tornado chasing na lighting hunting

du! kuna watu mna raha huku duniani, wengine hatujui hata weekend ipoje na hatujui hata imefika vip,..
 
ninampango wa kumpa dozi ya ukweli, ukizingatia siku za kazi naamka mapema, weekend hii lazima kieleweke game mtindo mmoja.
 
kwanza skiing ndo nini?

Kuna na ice skating na snow cruising

kuna tornado chasing na lighting hunting

najua basi best? nijulie wapi mie nimezaliwa mndenyi, nimekulia mndenyi...ukiuliza outing unaambiwa hebu toa mambo ya kizungu hapa., lol
 
Back
Top Bottom