Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote...
Binti mmoja anafukuzwa na mama mkwe wake heti hana sifa za kuishi na mtoto wake wakati huyo binti ana mtoto mchanga, na amejifungua kwa opration(kwa kisu) mm nikiwa kama jirani yake roho inaniuma...
utakuta mtu baada ya kutendwa na kuteswa na mtu ambaye pengine yy hakumuamin na kushindwa kujitahidi kuyatumikia mapenzi kwa uadilifu na stahili yake au kukutana na mtu asiye na mapenz ya dhati na...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na...
habari za jioni wadau nafatilia kipindi cha chereko na kutokana na experience nimegundua ndoa za siku hizi kama zinafungiwa sehemu za dini au kwa mkuu wa wilaya utakuta watu.ni wachache kuliko...
Ukimfatilia huyu mdada na facebook status zake,una m-judge moja kwa moja
yeye ni mtu wa aina gani,inaonekana ni vuvuzela ndo maana ana kimbiwa.
NOV 16, 2012- Wow! THIS IS IT kama alivyosema...
Kabla ya ndoa mambo
huwa hivi;-
MME;-Nilitamani sana
muda huo ufike.
MKE;-Vip wataka
niondoke?
MME;-Hapana hata kidogo.
MKE;-Unanipenda?
MME;-Ndiyo maana yake.
MKE;-Utaniletea demu...
Hiyo hapo juu ni sura ya mwanamke. Ni sura ambayo pengine umeshakutana nayo mahali au ambayo unaijua vizuri. Kama kuna mwanamke mwenye sura ya aina hiyo, ambaye unamjua vizuri au ambaye uko karibu...
Wajameni, nimechoka kulipia vocha, matumizi, vipodozi, chumba cha shughuli, yaani kila kitu. Kisa, eti kwa kuwa tunapendana. Mbona nabebeshwa mizigo yote na ni kwa mademu woote niliowaduu. Sipendi...
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile...
Jamani kuwa mzazi nako shuhuli kama huna general knowlegde au baadhi ya vitu huvijui nouma.
Kisa hiki kimenitokea jana usiku niliporudi nyumbani mida ya saa 2 usiku nikamkuta mtoto wa wifi yangu...
Ki ukweli nimeangalia sana pornography, sana tena sana na mwisho wa yote nimegundua mengi sana kuhusu uangaliaji wa wa porno na hizi hapa ni athari kubwa usizoweza kugundua mapem kama utakuwa...
Nisaidieni kunipatia majibu ya suali hili:
Mtanzania mmoja yupo London akawaagiza ndugu zake wamuolee mke, Wakamuolea (kufanya hivi katika dini ya Kiislamu inaruhusika lakini huwezi kumuingilia...
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa...
unajikuta mwanaume umeangaika sana, mwenyewe unakiri kwamba inatosha bora nimtafute mmoja nitulie tupange maisha lakini unayoyakuta unaona bora urudi kama mwanza kwa wale watu wale waleeeee...
-"I was raped at the age of 9 "- Oprah Winfrey
-"I didn't even complete my university education" - Bill Gates
-"I was sexually, mentally, emotionally and verbally abused by my father as far back...
PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la madhara yatokanayo na utandawazi. Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo...
Nimefurahishwa na tukio la juzi la kuona polisi imeingilia kati familia ambayo ilikuwa inataka kuolesha mtoto wa miaka 13.
Wanaume ni lazima kwenye jamii yetu tusimame na kutetea wanawake...