Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-...
Habari za Asubuhi wana MMU!
Naomba kuuliza swali kwa wazazi wenzangu ni kwa nini kama mume na mke wametofauiana ndani ya nyumba, basi utakuta baba anakuwa mkali kw watoto, na wakileta mchezo...
wakuu niaje,ni mara nyingi nimeona wapenzi wengi iwe mke au mme,katika walet zao utakuta kuna picha ya wapendwa wao iwe mke/mume au mchumba,ivi ndo kwamba wanawapenda sana au?na kama wewe mke wako...
Love means having something in common..Someday you will find someone who makes you feel like the wait was worth it and you will be happy why it never worked out with anyone else...
kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa...
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe...
Habarini ndugu zangu. Bila shaka wote hamjambo na mnaendelea vizuri na kazi ya kulijenga taifa letu. Ndugu zangu ma bibi na mabwana, mwenzenu naoa hivi karibuni. Naomba nichukue nafasi hii...
Heshima kwenu wakuu..!
Niliwahi kuandika post hapa kuhusu mdada mmoja niliyekuwa simuelewi..ilisomeka Hivi kwa nini wadada mpo hivi..?..
Kama mtoto wa kiume nilichukua uamuzi mgumu nikafuta...
Salaam wana bodi,
Nasikitika kuwajulisheni kwamba Vin Diesel alifiwa na mtoto wa shangazi yake.
Kwa bahati mbaya zaidi ilipofika jana shangazi yake naye pia akafariki.
Tuungane na mwenzetu...
Kwa mwenye uzoefu na Wadada/Mabinti wa Kabila la Wakisii toka Nchini kenya...Pls nishueni dondoo zao Kitabia.Kuna mmoja nimekutanae huku na kajitambulisha kuwa yeye ni Mkisii toka Kenya.Dalili...
kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi...
Habar wana jf,
Huwa najiuliza kila mara jibu huwa cpati,kwamba demu wako kila akitongozwa anakwambia huonesha kwamba anakupenda sana? au huwa tayari amekubali anaweka mazingra kwako endapo...
Ulinihadaa kuwa wanipenda! Nikahadaika!
Ukanichukua mithili ya kinda, nikajifunza kukupenda! Nikapenda!
Sikujua! Kumbe yako nia ni kunipa inda, mwana wa mwenzio!
Na uliponijua kuwa nishapenda...
1. They are smart
2. They can give you a free medical consultation/advice
3. They give you a gift of 'missing' them because they are always at work
4. They are heavy party people on the weekends...
Kwa hali hii ya watu kutokuwa waaminifu katika mahusiano, siku ya Valentine ndo siku yakujua mpenzi wako kakuweka katika nafasi gani ya mapenzi!
Naona watu hii siku inasumbua akili za watu...
mdada mwenye umri usiozidi miaka 28, mkristo wa kweli asiyevaa suruali, pedo au sketi iliyojuu ya magoti. Mwenye tabia nzuri, elimu mwisho diploma na mcheshi. kwa aliye tayari ni PM.
haya huwa ni mameno ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.
Kisa chake kiko hivi.
Kijana huyu alizaliwa baada ya mama yake kupewa ujauzito na mme wa dada yake (shemeji) aliyekuwa anamlea mama yake...
Je mwayafahamu haya jamani?????
1.mume na mke wakikaa pamoja kwa mda mrefu hutokea kufanana
Wataalamu wa mambo wamebaini kuwa kitendo cha wanandoa kuwa na 'common share' ie share of food...