KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Feb 5, 2013 #1 Kwa hali hii ya watu kutokuwa waaminifu katika mahusiano, siku ya Valentine ndo siku yakujua mpenzi wako kakuweka katika nafasi gani ya mapenzi! Naona watu hii siku inasumbua akili za watu wanatamni isiwepo.
Kwa hali hii ya watu kutokuwa waaminifu katika mahusiano, siku ya Valentine ndo siku yakujua mpenzi wako kakuweka katika nafasi gani ya mapenzi! Naona watu hii siku inasumbua akili za watu wanatamni isiwepo.