Msichana akikutafutia sababu...

Msichana akikutafutia sababu...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe ili mtoto atoke
mzuri..Anaongea kwa kujiamini
utadhani kwenye kutunga
mimba huwa anamsadidia Mungu kuumba rangi ya mtoto!
2.We sio type yangu,sasa sijui
type ipi anataka?
3.Am not ready,moyo wangu
umepasuka...moyo upasuke
bado unatembea?
Kuwa Mwanaume
shida,tunapambana na majibu unaweza
kumzaba vibao mtu
na Love inaisha hapohapo!

Weka na ww majibu yao
 
Ukitongoza siyo lazima ukubaliwe. To my experience wasichana wengi ni wastaarabu. Hawana sababu za kudhalilisha kama hizo. Hata kama si type yake hawezi kukuambia. Tungekuwa tunaambiwa hivyo du vifo vingeongezeka. So kama wewe umekumbana na madem wanakupa live hivyo basi ujue aidha ni king'ang'anizi unakera hadi unapewa live au hauvuti kabisa.
 
Wako tele wasokua na majibu yakishenzi kama hayo,nnahakika hujakutana na waschana wastarabu,au hujui kumthibiti mwanamke ukiwa kama mwanamme..
 
Si lazima upate ukitongoza,
Lakini pia Inategemea unatongoza ili iweje, wewe unalipuka tu mimi nakupenda nataka tuzae watoto!
Umesikia yeye ni mashine ya kuzaa watoto au?
Ndoa hujengwa polepole na unamjua mtu, ukijibiwa ivo ina maana umekosea mwanzo wako. Mtu humjui hata hujamsoma vema, unaanza tu kusoma notes zako ulizojiandalia!
JIPANGE MEEN, fanya utafiti mdogo, anza taratibu. Utamjua tu mwenzi wako mwema
 
Wako tele wasokua na majibu yakishenzi kama hayo,nnahakika hujakutana na waschana wastarabu,au hujui kumthibiti mwanamke ukiwa kama mwanamme..

Wewe ukiibuka tu unataka ukalale naye siku moja, naye kakushtukia atakupa jibu lolote ambalo hutamruia tena na utamhate maisha yako yote.

Inatakiwa kuwa na "prior plan" otheerwise utampiga na upate shida bure!
Ukianza kishenzi, utajibiwa kishenzi- maana kuna watu washenzi kuliko ushenzi wenyewe.
 
Mbona umezungumzia Weusi tu? Au weusi ndo wanakataliwa?
Kuwa kila upende usiBASE upande mmoja.
 
hizo ni stori za wasichana kwa wasichana acha kutufunga kamba labda kama unatongozewa!
mwanamke kama akutaki ni short and clear 'sikutaki!'
 
hizo ni stori za wasichana kwa wasichana acha kutufunga kamba labda kama unatongozewa!
mwanamke kama akutaki ni short and clear 'sikutaki!'

Nilijibanza sehemu nikawa nawasikiliza story zao... Ndahani njoo huyu mgeni nn?
 
Last edited by a moderator:
Nilijibanza sehemu nikawa nawasikiliza story zao... Ndahani njoo huyu mgeni nn?

Niite bouncer wako namaliza tatizo immediately...Boflo watu walikusahau...bila ile white party mbona ungeishia jumla jumla...
 
Niite bouncer wako namaliza tatizo immediately...Boflo watu walikusahau...bila ile white party mbona ungeishia jumla jumla...

Hahaha au hehehe na ww mbona hukutokea white party bana?
 
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe ili mtoto atoke
mzuri..Anaongea kwa kujiamini
utadhani kwenye kutunga
mimba huwa anamsadidia Mungu kuumba rangi ya mtoto!
2.We sio type yangu,sasa sijui
type ipi anataka?
3.Am not ready,moyo wangu
umepasuka...moyo upasuke
bado unatembea?
Kuwa Mwanaume
shida,tunapambana na majibu unaweza
kumzaba vibao mtu
na Love inaisha hapohapo!

Weka na ww majibu yao
Jamani Boflo seriously unachekesha jamani nihurumie mbz=avu zangu bana zisije zikalegea ujue mi zimekaza.Topic zako bana we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
"we ni mfupi mi na watu wafupi ni vitu viwili tofauti" kwanini usimpige he he he!!!
 
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe ili mtoto atoke
mzuri..Anaongea kwa kujiamini
utadhani kwenye kutunga
mimba huwa anamsadidia Mungu kuumba rangi ya mtoto!
2.We sio type yangu,sasa sijui
type ipi anataka?
3.Am not ready,moyo wangu
umepasuka...moyo upasuke
bado unatembea?
Kuwa Mwanaume
shida,tunapambana na majibu unaweza
kumzaba vibao mtu
na Love inaisha hapohapo!

Weka na ww majibu yao

Sijawahi pewa majibu ya dizain hii. Unajua kwa nini, nikiona dalili basi yeye ataliona vumbi bila kujua nimechomoka saa ngapi!
 
Jamani Boflo seriously unachekesha jamani nihurumie mbz=avu zangu bana zisije zikalegea ujue mi zimekaza.Topic zako bana we acha tu.

Zikikaza sana. Nitakuja kuziregeza free of charge
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa ndo nini lakiniiii..aghh Boflo...hmmmm nlikuwa sijisikii kucheka leo tena mbele ya mdeni wangu..ona sasa siwezi nuna tena!! Aaaaaghh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom