Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,047
- 4,449
Habarini ndugu zangu. Bila shaka wote hamjambo na mnaendelea vizuri na kazi ya kulijenga taifa letu. Ndugu zangu ma bibi na mabwana, mwenzenu naoa hivi karibuni. Naomba nichukue nafasi hii kuwakaribisheni wote ktk hiyo function. Mimi ni mtumwa yaani na maanisha ni mwajiriwa katika haya makampuni ya wenyenazo lkn kwa sababu siutaki utumwa nimeamua kuwa na vijimiradi vidogodogo ili viniongezee kipato na ikiwezekana hapo badae kidogo niukimbie utumwa.....kama unavyojua tena watumwa tunavyolipwa ujira wenye sifa hii HENDI 2 MAUTHI. The problem is ni lazima kila siku nifike nyumbani usiku wa saa tano nikitokea kwenye hivyo vijimradi. Kinachoniumiza kichwa nikiwasiliana na fiance wangu huwa na mwambia ukweli time niliyofika home. Lkn yeye hapendi hii tabia ya kufika home saa tano na hapo bado yupo kwao.
Sasa swali langu ni hili......
je nikimuoa itakuwaje?......si utakuwa ugomvi kila siku ama italazimika nisikague biashara zangu ili niwahi home na nisipokagua kila siku ni mwanzo wa kufa kwa hiyo miradi.
Please nishaurini ni jinsi gani naweza ku handle hii isue ili biashara zangu ziendelee na at the same time amani isijetoweka home baada ya ndoa