NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
Je mwayafahamu haya jamani?????
1.mume na mke wakikaa pamoja kwa mda mrefu hutokea kufanana
Wataalamu wa mambo wamebaini kuwa kitendo cha wanandoa kuwa na 'common share' ie share of food,
share of drinks,share of ideas,share of clothes,share of reproductive organs and so forth....kwa mda mrefu
kunapelekea watu hao kufanana kwa TABIA na SURA
NA
2 Pia utafiti mwingine umebaini kuwa mwanamke ana kipawa cha peke yake kuweza kutambua kuwa mume wake
alikotoka kacheat[katoka kufanya uzinzi].
Utafiti huo unaonyesha kuwa mwanamke analijua hilo kwa kunusa.Utafiti huo unaendelea kudadavua kuwa
harufu hiyo ya aina yake,ni yeye peke yake[mkeo] atakaeyeweza kubaini hata mwanaume uoge na kujipulizie pafume kali namna gani