B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
wakuu niaje,ni mara nyingi nimeona wapenzi wengi iwe mke au mme,katika walet zao utakuta kuna picha ya wapendwa wao iwe mke/mume au mchumba,ivi ndo kwamba wanawapenda sana au?na kama wewe mke wako au mchumba wako au wewe mwenyewe huna picha ya mtu wako kwenye walet au simu yako umeweka picha ya bionce,rihana,chris brown na wengineo je nikwamba una wa admire zaidi kuliko mtu wako au?