kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.