CLASSIC:-
[BOSS TO SECRETARY]
Jiandae kesho tuna safari
ya kikazi.
[SECRETARY TO
HUSBAND]
Mume wangu kesho
nitasafari na boss kikazi.
[HUSBAND TO
GIRLFRIEND]
kesho wife wangu...
ukiona mwanaume kavaa viatu then ajavaa soksi utashangaa sana na utamwona mchafu,
tumezoea kuona wanawake wanavaa viatu vya wazi, lakini inapotokea wakavaa viatu vya kufunika especially...
For the last few weeks nimekua nikiangalia documentary programs za wanyama kwenye channel ya Animal Planet na pia nimekua ni mpenzi mkubwa sana wa program ya 'Africa' inayoonyeshwa sasa hivi BBC...
WHEN LOOKING AT YOU, BENEDIKT
HAPPY 2ND BIRTHDAY
My dearest son, Benedikt Fulbright Makulilo,
Guess what Benedikt? It is another February 10th. On every change of calendar year, such day is...
"....Na kununa ni gonjwa baya sana tena la kijinga"- TIMING
Recognize a sulking type. The sulker can be male or female; they tend to be people who resolve conflict by avoiding it and hiding away...
Habarini wanajamiiforums juzi kati nilikuwa kwenye sherehe fulani ya harusi ,kama kawaida kwenye sherehe lazima kuwe na kutoa zawadi ,ilipofika muda huo kuna kamati moja iliwatolea maharusi zawadi...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa...
THE WORST VALENTINES DAY
0683213365
.kwa,kwa,kwa ile sauti ya viatu bado ilisikika ikitembea katika korido ya nyumbani kwangu na hali ya hewa ilikuwa ya upepo mkubwa..hofu ilitaka kunikamata...
Mmeziamshaje nafsi zenu wanajamvi......
Dada A na Dada B walikuwa marafiki waliopendana na kuaminiana sana. Walikuwa walitoka out mara kwa mara wakiwa pamoja yaan Dada A, Dada B na mchumba wa...
Bibi na wajukuu zake...............
Ipo tabia moja ambayo imeshamiri kwa upande wa kina dada au wanawake wengi ya kuwatelekeza watoto wao nyumbani kwa wazazi wao. Suala la kuwatunza hao watoto...
Hofu ya Mizimu ikazusha kizaazaa
Kuna wakati inabidi kuwa waangalifu sana, hasa tunapodai kwamba, mtu fulani ana mapepo, mtu fulani kafa kwa uchawi, au kudai kwamba, tumeona jini au mzimu. Kwa...
WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache.
Utafiti...
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii...
Kuna mwanamke mmoja ni bosi wa mdogo wangu wa kike, mara baada ya kuelewana tulikuwa tukisalimiana kama kawaida.Baada ya muda fulani kupita amekuwa na tabia fulani ambayo hata mimi nashindwa...
Kwanza napenda nikupongeze kwa thread zako zinazongumzi mahusiano ya sura na tabia za watu.
'
Swali ninalokwenda kukuuliza nadhani huenda kuna wengine wanajiuliza kama mimi,sasa mimi nimeamua...