Diwani ashikwa ugoni Iringa

Diwani ashikwa ugoni Iringa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa leo na kuchezea kichapo .

Diwani huyo mpenda ngono anadaiwa kufumaniwa akiwa katika nyumba ya mpiga kura wake huyo katika kata kata moja ya wilaya ya Iringa Vijijini na ni diwani anayetokea katika wilaya ya Iringa mkoa wa Iringa na ni diwani mtanashati kweli kweli.

Mashuhuda wa tukio hilo wameudokeza mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima kuwa kutokana na fumanizi hilo la mwaka wapiga kura wake wanaoishi jirani na nyumba hiyo ambayo mheshimiwa alifunaniwa waliizunguka nyumba hiyo na kuanza kumshikisha adabu mheshimiwa huyo.

Baada ya mheshimiwa huyo kuchezea kipigo kutoka kwa njema lenye mke huyo pamoja na wananchi alilazimika kutoka mbio na kukimbilia porini kabla ya kwenda kupatiwa matibabu katika moja kati ya zahanati mbili zilizopo katika eneo hilo ikiwemo ya Misheni na ile ya Kijiji .
Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
Huyu diwani lazima atakuwa wa CCM
 
katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa leo na kuchezea kichapo .

Diwani huyo mpenda ngono anadaiwa kufumaniwa akiwa katika nyumba ya mpiga kura wake huyo katika kata kata moja ya wilaya ya iringa vijijini na ni diwani anayetokea katika wilaya ya iringa mkoa wa iringa na ni diwani mtanashati kweli kweli.

Mashuhuda wa tukio hilo wameudokeza mtandao huu wa francis godwin mzee wa matukio daima kuwa kutokana na fumanizi hilo la mwaka wapiga kura wake wanaoishi jirani na nyumba hiyo ambayo mheshimiwa alifunaniwa waliizunguka nyumba hiyo na kuanza kumshikisha adabu mheshimiwa huyo.

Baada ya mheshimiwa huyo kuchezea kipigo kutoka kwa njema lenye mke huyo pamoja na wananchi alilazimika kutoka mbio na kukimbilia porini kabla ya kwenda kupatiwa matibabu katika moja kati ya zahanati mbili zilizopo katika eneo hilo ikiwemo ya misheni na ile ya kijiji .
Source: francis godwin mzee wa matukio daima

acha kumfichaficha muovu
mbona yule kada wa chadema anayeshitakiwa kwa kosa la kubaka binti mdogo kule moshi alitangazwa kwa mbwembwe nyingi?
 
acha kumfichaficha muovu
mbona yule kada wa chadema anayeshitakiwa kwa kosa la kubaka binti mdogo kule moshi alitangazwa kwa mbwembwe nyingi?

huyu kwa vile wa ccm ndo maana tunamficha ficha
 
Hivi kwanini kusinge kuwa na sheria anayebaka wanamkata dushelele naona ingekuwa adhabu tosha kwa wabakaji .
 
huyu diwani lazima atakuwa wa ccm
umesahau kwamba hata yule alieshitakiwa kwa kosa la kubaka katika mahakama ya moshi alikuwa ni mgombea ubunge wa tiketi ya chadema wilaya ya mwanga? Sasa kama mbuge mtarajiwa anabaka diwani akichukua wake za watu si kawaida tu? Mkiambiwa muoe mnang'ang'ania wachumba mpaka uzeeni. Haya bana.
 
...mke wa mtu ni sumu!!!!!!!...sumu ni hatari....hatari ni "danger"...danger ni
A%20S-danger.gif
:hatari::hatari:
 
huyu kwa vile wa ccm ndo maana tunamficha ficha
AMEIGA KWA MWIGULU NCHEMBA hawafikiri shida zinazowakabili wananchi wao wanafikiri jinsi ya kwagegeda wake za wapiga kura wao ,hawa jamaa ni hatari sana kwa jamii .
 
jukwaa la siasa ipo thread nyingine ya diwani huyuhuyu na picha imewekwa.
 
Siyo kwamba mwandishi amekosea jamani! Huenda alitaka kuandika "Mbunge wa ccm kutoka jimbo Iramba magharibi katika mkoa wa Singida ashikwa ugoni"

hahahaha jamaa wa enomics first class
 
Back
Top Bottom