VIATU NA SOKSI....... Naombeni elimu yenu.

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
ukiona mwanaume kavaa viatu then ajavaa soksi utashangaa sana na utamwona mchafu,

tumezoea kuona wanawake wanavaa viatu vya wazi, lakini inapotokea wakavaa viatu vya kufunika especially maofisini mbona hawavai na soksi, na tunaona ni kawaida tu? Jaman naombeni elimu juu ya ili jambo...
 
Marehemu Remy Alishaimba Mabo yote Kwa Sox
 
we unaona ipi inafaa? njoo makete uone wanawake wanavyovyaa soksi na sandals
 
Wengine wanavaa socks na yeboyebo
 
Kuvaa viatu na soksi ni 'lazima' katika maeneo ya baridi. Huko kwenye joto si lazima, ila soksi ni muhimu sana. Miguu ya wanawake imekomaa na kukakamaa, hata wengine kusuguliwa pale Mwenge, kwa kuwa hawavai viatu na soksi.
 
hapo kazi kweli kweli itafika wakati wanawake watavaa na soksi kama sasa wanavyovaa suruali
 
ukiona mwanaume kavaa viatu then ajavaa soksi utashangaa sana na utamwona mchafu,

tumezoea kuona wanawake wanavaa viatu vya wazi, lakini inapotokea wakavaa viatu vya kufunika especially maofisini mbona hawavai na soksi, na tunaona ni kawaida tu? Jaman naombeni elimu juu ya ili jambo...

Chezeea mwanumme wewe!!! Hata wagunduzi wa soksi wanaelewa umuhimu wa KUUONA MGUU WA LADY tokea kwenye kifundo cha mguu....

Kwani sisi waswahili tusifiapo MTOTO GUU GUU huwa tunaangalia kutokea wapi??
 
ha ha ha haha, ngoja nicheke tu...
 
Back
Top Bottom