et hiii ni kweli au nimepigwa changa la macho?

et hiii ni kweli au nimepigwa changa la macho?

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
kuna rafik yangu amekonda sana ananiambia et sababu iliyomfanya akonde ni kufanya sana mapenz na wanaume tofaut inaweza kuwa kweli?
 
whaaaaaat?anacho anachokificha.zipo sababu nyingi za kupungua,ila sijawahi kusikia kitu kama hicho
 
akili za mbayuwayu changanya na.....................................Reference:JMKikwete
 
Ameshapima afya huyo?au anawaua watu tu
 
Ngoja nikajaribu, yakinikuta nitakujulisha.
 
dah... ukistaajabu ya WA KISHUA ni kwa sababu hujayaona ya bahaticaro!

Sasa we mdada lengo lako hasa nin nini hapa?
1. Na wewe unataka kuslim kama yeye?

2. Unashangaa tu?

3. Hutaki kuamini kuwa kaukwaa?

4. au basi tu uanzishe thread na wewe...
 
Last edited by a moderator:
kuna rafik yangu amekonda sana ananiambia et sababu iliyomfanya akonde ni kufanya sana mapenz na wanaume tofaut inaweza kuwa kweli?
Ndio! Kwani hajui ukifanya mapenzi sana na wanaume tofauti lazima upate UKIMWI?
 
hii kitu ni kweli hata bibi yangu alishawahi nieleza ila sijui kitaalam kama inakubalika, ni kwamba unapoduu na mwanaume ambaye damu hazijaendana basi anakukukondesha, na ukifanya mapenzi na mwanaume ambaye mnafafa damu basi unanepa nilipotaka kumdadaisi akasema: mnajifanya wasome sana nyie siku hizi mkiambiwa vitu na wakubwa zenu mnabisha aaaaakh!.nikabaki kimya mpaka leo hii naona hii post
 
sio ukimwi tu unaokondesha maisha pia aise ila fuatilia dalili zingene ndogo ndogo za h.i.v ndg.. al in al sio kila mzungu padreeeeee......
 
whaaaaaat?anacho anachokificha.zipo sababu nyingi za kupungua,ila sijawahi kusikia kitu kama hicho

Nikki Samonas ndiye ananimaliza mimi. Nakonda kwa kuona picha yake tu.
 
Back
Top Bottom