Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana MMU!!! Mimi kama mimi kwa mtazamo wangu naona mapenzi ya siri yana ukomo wake. Unapokuwa unapenda mapenzi ya siri sana, unampa wakati mgumu mwenzako. Ni rahisi kufikiria...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
27-10-1980 katika kijiji changu, majira ya saa 4 usiku mama ukiwa umelala baada ya uchovu wa shughuli za pale nyumbani, ukiwa na ujauzito wa miezi tisa , ndipo baba alipo kuja na mwana mke...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF Nimekua nikipita JF kama Guest kwa muda sasa,nimefarijika na jinsi watu wanavyosaidiana kwa mawazo na ushauri. Mi ni kijana wa kiume( below 30), elimu yangu ni chuo. Natafuta...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mwanaume mwenye miaka 30+. Natafuta mke mwema awe mkristo, umri 25-33.
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Helo, mwanamke kutokufka climax ni tatizo? na je akifika climax huwa anatakiwa kuonyesha ishara gan? pls nisaidien wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANZANIA MEN’S RIGHTS ASSOCIATION CHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WANAUME TANZANIA ”TAMRA” Equal treatments for all UTANGULIZI TAMRA ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa na wanaume wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilizaa na mwanaume mmoja miaka mitano iliyopita tulizaa mtoto wa kiume ambaye alifanana na baayake sana, story yangu ni ndefu ila yule mwanaume aliniacha kwa matusi , na vituko kibao, ila...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Mimi ni mkazi wa Kigamboni,km wiki 3 zilizopita kulitokea la uvunjaji nyumbani kwangu,na kuibiwa baadhi ya vitu,nilitoa taarifa kituo cha polisi Kigamboni.Kwa gharama zangu nilikodi gari kwa ajili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata 2.nikimfumania lakini...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
natafuta mchumba, mwanamke asiyezidi miaka 35.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mimi naitwa olekina kutoka mombasa kenya, natafuta mrembo kati ya miaka 24/ 27,kisha awe msomi na mwenye kumuogopa mungu,awe mrembo ,mpole,kama yuko,nipigie simu kwa 0725341178/0716148794,hakuna...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? Naimani mko poa. Hivisasa mmerudi kwenye miangaiko ya kulijenga Taifa letu pendwa. Leo mwenzenu limenikuta jambo ambalo ckutegema linikute maishani mwangu, nikaona sivibaya...
1 Reactions
59 Replies
11K Views
Ndugu zanguni wana JF, napenda niwashirikishe furaha yangu kuwa mwezi wa nne nakaribia kufunga ndoa. Nakaribisha michango ya hali na mali. Asanteni
3 Reactions
47 Replies
3K Views
There is a girl that ,I love so crazily that ,I realy want to marry.But the problem is that she is older than me by 1.5 yrs.Though we shared our childhood and primary school education.Personally...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Ndivyo alivyoniambia majuzi mtu ambaye alikuwa ametoka kuonana na mpenzi wake wa a pembeni wa Kiafrika. Kwa uwazi na umakini mkubwa alisisitiza kuwa hili ni suala la kibailojia na kiutamaduni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitaj wakunitoa mawazo jaman naitaj true love! Nimechoka kuwa upweke naitaj mwanaume mstarabu anayejitambua, mengne 2tajua mbele age 28-35 welcm.
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Sifa zangu. Ninasoma University of Dar es salaam (COET) Nina miaka 22 Urefu (197cm) na sio mnene. Mchapakazi na mwenye bidii na misimamo ya kawaida(inayovumilika) Dini yangu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama una mke, mpenz, demu, buzi au king'asti, hakikisha usiku wa tarehe 14 mwezi huu mnakuwa pamoja ili kuzima pamoja mapenzi ya Analojia na kuwasha mfumo mpya wa mapenz ya Digital yasiyo na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jinsi Ya Kuacha Ku-Cheat Kwa sababu mbalimbali watu katika mahusiano wanaamua ku-Cheat wenzi wao. Wakati mwingine wanajisikia vibaya lakini hawaachi. Wanakuwa trapped, na hivyo kuifanya iwe...
13 Reactions
64 Replies
11K Views
Back
Top Bottom