Mke mwema ni yupi?

Mke mwema ni yupi?

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
mke mwema.jpg
Nakaribisha malumbano.
 
Anae kupenda kweli sio kwenye ulimi tuu kwenye moyo na anaeridhika kama unacho au huna...
 
Stereotypes zinasema wapare ni mabahili na wachagga kwa pesa huwawezi lakini hizi picha sidhani kama zinatendea haki stereotypes hizo
 
Stereotypes zinasema wapare ni mabahili na wachagga kwa pesa huwawezi lakini hizi picha sidhani kama zinatendea haki stereotypes hizo

Naunga mkono hoja...mimi ni mpare na wala sijauona ubahili wangu...hembu niambieni huo ubahili wa wapare mnauonaje jamani?
 
Katika hizo picha hapo, kwa kweli sioni uhalisia,hasa kwa Mpare, ila kwa mchaga inawezekana kwa sababu huyo ,mwanaume lazima atakuwa na pesa , lakini mwanamke wa kichaga akupokee hivyo halafu huna mbesa, kiruuuuuuuuuu! sijawahi sikia, yaani tena hana kwenye sakalamenti takatifu atakwambia hana hamu, wewe badala ya kwenda kutafuta mbesa unataka ngono, ukifanya hiyo ndio utapata hizo mbesa huku kwenye k yangu?
 
Naunga mkono hoja...mimi ni mpare na wala sijauona ubahili wangu...hembu niambieni huo ubahili wa wapare mnauonaje jamani?

Hizo ni stereotypes tu wala hazina ukweli kwa saana au labda kutokana na culture za watu zilikuwa na ukweli hapo zamani, na zipo nyingi tu kama wahaya na majivuno; waha kwa upole, n.k. nadhani kila kabila lina stereotypes zake, jinsi watu wanavyogeneralize tabia za watu wa huko hata ulaya zipo kama watu wa Liverpool (scousers) ni vibaka
 
You know, i really don't like to hear kwamba wapare tumabahili... hata ukimpata mwanamke akijua wewe ni mpare, it's a minus coz they have this attitude that we are stingy, damn it!
 
Lazima Wachaga mwaongelee maana ni kabila la mfano
 
You know, i really don't like to hear kwamba wapare tumabahili... hata ukimpata mwanamke akijua wewe ni mpare, it's a minus coz they have this attitude that we are stingy, damn it!

Nilikuwa na Ex mpare as well as one of my best friends mpare sikuona ubahili wowote sijui ni kwanini labda culture yenu mnajua ku-save na sio kufuja (which is a plus mimi sioni kama ni negative) kwahio labda wewe ndio utwambie ni kwanini mmepewa hii label.., mfano tunajua sababu ya wakurya kupewa label ya ubahili lakini sijui kwanini wapare wamepewa hii labda ni negativity na uongo/utani waliovumishiwa na watani wao wachagga
 
Anae kupenda kweli sio kwenye ulimi tuu kwenye moyo na anaeridhika kama unacho au huna...

Huyo wa kichaga anafanya kwa dhati?

We acha tu promiseme na KakaJambazi , mchagga anajua kupenda sana na kumtunza mumewe, ACHANA na zile propaganda zilizojengeka kwamba wachaga sio kabila la kuoa. Huo uikuwa ni wivu tu kwa kuwa wanaona kila familia yenye mama mchaga imesonga mbele kimaendeleo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom