Habari zenu wana MMU!!!!!!
Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio,
tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa,
tuwe waaminifu katika...
Nimejifunza na kuamini wanaume tuna true love kuliko wanawake, our love is for real, sema hatukutani na wale wenye real love like us ndo maana tunaamua tuwe pasua kichwa..
Nina imani...
Leo ni Ijumaa ya kwanza ya Kwaresima. Wengi tumesali Njia Ya Msalaba. Nina wakaribisha wote
Walioshiriki Ibada ya safari na Bwana Wetu Mkombozi - Akitolewa upande wa Kaskazini mwa mji hadi...
Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao...
Habarini waungwana,.. Kwa muda mrefu nilikua nikielezwa kuwa mama mkwe wangu hataki niishi na mwanae na alikua anamshawishi mume wangu aniache na amuoe mwanamke aliyemtafuta yeye kwa madai alimzaa...
I'm serious looking for a GIRL of whom shall be my wife in the near future,the girl must beautiful by nature,aged between 23-27,educated one,have true love.Mostly important she must have...
Happy valentine day wana jf.
Natumai wenzangu mnazibua shampein na maua ya kumwaga plus mikiss ya hatari ndani ya siku ya leo mungu awatangulie na awalinde.....
Tatizo lipo upande wangu coz nina...
Happy Valentines Day kwenu nyote.
Katika kusherehekea siku hii napenda kuwa na ninyi nyote na kwakua ni ngumu sana kuwa na kila mmoja physically basi naomba hapa ndani ya key board tuwe pamoja...
KUNA RAFIKI YANGU AMENIPIGIA SIMU JANA, Ameogopa sana ANAOMBA USHAURI,
Ni mwanachuo, ametongozwa na wanaume wawili humo darasani kwao, amewakataa wote wawili,
Sasa, kuna mmoja wa hao wanaume...
Kanambia ananipenda kuliko mwanaume yeyote duniani
Ni mdada alinifuata na kunambia hivyo mie nkamuuliza hana uhusiano na mwanaume yeyote akanijibu hakuna zaidi ya wale wanao msumbua tuu
Nkampa...
Valentine died for love,
.
.
.
Romeo also died for love,
. .
.
Jack in titanic died for
love,
.
.
.
Samson in the Bible died
for love,
.
.
.
Greek heroes Hercules &
died 4 love...
Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa...
Alisikika rafiki yangu wa karibu kabisa akisema maneno hayo! Ni Mtu wa makamo tu kama miaka 35 hivi, Kasema yaani siku hizi anaweza akakaa hata mwezi na nusu au zaidi hana hamu ya ku do na mkewe...
Kwa kweli sijapata ile huduma ya papuchi kwa muda mrefu toka mwaka jana august,
Yaani kwa sasa nikikaa idle then nikapata mawazo kidogo tu, dushelele fasta tayari ameshaenda winga!
Hv kuna...
Huko Italy katika mji wa Siena ambao ni maarufu kwa mambo mengi, kuna sheria ya ajabu kidogo. ni ya ajabu kwa sababu, ingawa imejifunga na imani, lakini imesahau kwamba, jina ni jina tu. Kwenye...
Kuna dada alikuwa ameolewa amekaa na mume wake 12 years ndoa ya kikristo hawakuwa na mtoto mwaka 2010 mwanaume alimshutumu wife kutokuwa mwaminifu akamfukuza bila hata nguo,na kagoma kumrudisha...
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.' Na Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' There is no other commandment more...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.