The Great Commandment - Ni kuhusu Upendo:

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.' Na Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' There is no other commandment more important than these.

================
About Adultery - kuhusu uzinzi:

Atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
 
Ni kweli mkuu...ila sio huu upendo wetu wa ASHIKI...

Huu wa kwetu umechskachuliwa mno....una terms and conditions kibao....
 
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.' Na Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' There is no other commandment more important than these.

================
About Adultery - kuhusu uzinzi:

Atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.

kwa wanaume' nahisi kama kuna uonevu vile!
Siku hizi wanawake wengi wanatamani waume' mpaka wanawake wanatongoza wanaume!
 
mapokeo mabaya ya Beijing: wanasema eti wanataka usawa kila idara!!!
 
Ndiyo maana Bob' alisema "No Woman, No Cry"
Cjui ingekuwaje wasinge kuwepo!
 
Back
Top Bottom