kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Leo ni Ijumaa ya kwanza ya Kwaresima. Wengi tumesali Njia Ya Msalaba. Nina wakaribisha wote
Walioshiriki Ibada ya safari na Bwana Wetu Mkombozi - Akitolewa upande wa Kaskazini mwa mji hadi Magharibi. Tushirikishane yale matendo makuu kwa vituo vyote kumi na nne. Je wewe umeguswa na kituo kipi?
Kituo cha tisa' bilashaka kinamgusa kila wanadamu wote' hasa watanzani:
Mara nyingi tunajibovusha kwa kupenda mno STAREHE, ANASA NA TAFRIJA, watanzani hatupendi kujishughulisha na kujitumikisha ili tuweze kupata tuzo' kiroho na kimwili pia.
Akina CHARMINGLADY na washirika wote' karibuni nyote na Mungu Awabariki...!