saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
Habari zenu wana MMU!!!!!!
Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio,
tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa,
tuwe waaminifu katika mapenzi yetu, uvumilivu udumu na tongeze mapenzi maradufu
Upendo uwe ishara njema kati yetu.

Pia ningependa kuomba msamaha kwa yoyote yule niliyemkwaza,
Either kwa comment zangu/ thread zangu nilizo post
especial lara 1 maana tumekua tukikwazana mara kwa mara,
tusameheane ili tuishi vyema, tutoe tofauti zetu ili tuweze kusonga mbele
kwani kwa pamoja tutafika mbali.

HAPPY VALENTINE DAY