Valentine day mbaya nipo blacklist...

Valentine day mbaya nipo blacklist...

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
121
Happy valentine day wana jf.
Natumai wenzangu mnazibua shampein na maua ya kumwaga plus mikiss ya hatari ndani ya siku ya leo mungu awatangulie na awalinde.....
Tatizo lipo upande wangu coz nina best yangu amenichukia ghafla sijui tatizo..kaniblock kwa 4ne na sms hapokei so amenifanya siku yale iwe ngumu sana kwangu.
Nipo home na kalaptop kangu nachat na maswahiba wengine huku roho inaniuma...
 
pole sana,
wenzio tunajirusha na wapenzi wetu kwa raha zetu
 
utakunyaje mi nilifikili msichana wako kakuacha kwenye mataa?
 
Pole sana... kama ungeweza ungelikuja huku matombo kula miwa, tuko shamba tunafurahia huku!!!! :smile:
 
huna tofaut na mm....sm tym ts xo disgustn
 
Back
Top Bottom