Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mu hali gani mabibi na mabwana wa humu MMU? Ni matumaini yangu kuwa wote humu mu wazima wa afya. Kwa mara nyingine leo nimeona bora tuzungumzie suala zima la athari za marafiki katika...
8 Reactions
21 Replies
13K Views
hv kwann wanandoa weng niwasalit?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I salute all MMU members, Nimekuwa nikisoma thread nyingi za mahusiano ya watu kutaka ushauri wa ndoa zao nimegundua kila siku zinavoenda malalamishi ya unyumba yanazidi au tatizo ni kubwa...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
(a) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu sahihi katika kipindi kisicho sahii mf:shuleni (b) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu asie sahihi katika kipindi sahihi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naitwa Mashaka,msukuma naishi mwanza,umri wangu ni miaka 26,nasoma nna pia nafanya kazi,mrefu wa wastani,mwili wa wastan.natafuta mchumba/mpenzi awe na sifa zifuatazo; -mwili wa wastani au...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Salam, Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Nyingine; Silli...
3 Reactions
44 Replies
42K Views
Habari wana JF natumai muwazima wa afya? Kwa hakika nimekuja kuliza suali kwa akina dada zaidi ingawa na wanaume wanaweza kuchangia kulingana na uono wao. Hebu vuta picha ww mwanamke kwa yule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wa MMU, Heshima kwenu Kwa mara nyingine nimeamua kuwashirikisha hili. Niliwahi ku post thread kuhusu binti niliyempenda sana Leah...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawatafuta sana watajwa hapo juu, kama una taarifa zao pls nijulishe. Walikuwa ni classmates wangu wa parane Sec miaka ya nyuma.... I real miss them kila nikikumbuka back in those days.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mungu nijalie demu mpenda pesa/ kila siku nipigane kuwa Bakhresa/ asinipende mimi apende Verossa/ demu wa shida na raha anamisoto sana/ huyo demu hanifai changamoto hana/ ikiwa demu wako...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna watu hata tujifunze vipi Kiingereza kinatupa shida tu. Kinatunyima raha. Kinatuondolea uhuru wa kujieleza. Sasa inakuwaje ukioa mtu asiyeweza kujua Kiswahili? Si inakuwa vigumu kumueleza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Why would my husband call me by his ex wife's name? He has called me his ex's name twice, once when he was praying for me and the second time when he was talking to a member of...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa wanaMMU, nimeona ni busara kuwashirikisha machungu anayopitia mpendwa wetu snowhite na familia yake baada ya kuondokewa na babu yake mpenzi hapo jana asubuhi. Msiba upo Ubungo Kibo...
19 Reactions
102 Replies
6K Views
............
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wana JF kuna mtoto wa kaka yake mama yangu wa kambo anapenda niwe mpenz wake na mm siwez kuwa naye kwa mahusiano kama hayo coz namheshim sana mama yangu wa kambo. Naomben ushaur wenu...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia 22-28 yrs.awe mwenye elimu ya chuo,awe mfanyakazi, mkristo na mwenye mapenzi ya mungu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
8 Reactions
100 Replies
7K Views
Ok like a minute ago mimi and my co-workers tulikuwa tunatembea for a 15 minutes break.....(aLL Females and african america)...actual most of them wana african friends lakini ni nigerian or...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
For most, describing farmers as romantic is a stretch of the imagination. The image of a farmer evokes scenarios filled with manure, livestock and guys in gumboots who rarely take showers and...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nimepata taarifa kua, takwimu zinaonesha kua Tabata inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi kwa wilaya ya ilala na takwimu hizi zipo kwa mganga mkuu wa wilaya ya Ilala kwenye ofisi yake, Hospital ya...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Back
Top Bottom