Tabata inaongoza kwa maambukizi wilaya ya ilala!!

Tabata inaongoza kwa maambukizi wilaya ya ilala!!

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
72
nimepata taarifa kua, takwimu zinaonesha kua Tabata inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi kwa wilaya ya ilala na takwimu hizi zipo kwa mganga mkuu wa wilaya ya Ilala kwenye ofisi yake, Hospital ya Amana
 
Ni vyema kuchukua tahadhari!

Mimi napita juu kwa juu.. lakini .........Wataalamu wa maswala ya Ngono na Madanguro wataingia ... kufafanua hizo statistics ... inakuwaje madanguro mengi yako kwingine na ukimwi unaonekana sana sehemu nyingine...
 
Huu ni ukweli kuna magroup na makundi ya majimama yanasambaza ngoma makusudi kwa vijanapenda slop!
Wanawaambukiza makusudi vijana nao wakirudi kwa mademu zao wanawapa!kuna wamama wapo segerea ndio zao wapo kama sita hivi na wanapesa....kuna kundi linatokea kimanga.....alafu kuna lile la dar west lazima uwakute kwa mama seth pale karibu na hospital ya waislamu pale ....wako kama saba au kumi...
Wanahonga magari na feniture za ndani vijana alafu wanawamwaga na kutembea na mwingine wakiongozwa na mama seth.
 
Huu ni ukweli kuna magroup na makundi ya majimama yanasambaza ngoma makusudi kwa vijanapenda slop! Wanawaambukiza makusudi vijana nao wakirudi kwa mademu zao wanawapa!kuna wamama wapo segerea ndio zao wapo kama sita hivi na wanapesa....kuna kundi linatokea kimanga.....alafu kuna lile la dar west lazima uwakute kwa mama seth pale karibu na hospital ya waislamu pale ....wako kama saba au kumi... Wanahonga magari na feniture za ndani vijana alafu wanawamwaga na kutembea na mwingine wakiongozwa na mama seth.[/QUj Dah!kama ni hivo basi tumekwisha!
 
yaani ukishakaa mkono wa kushoto wa morogoro road km unatokea town ni dhahiri hauishi dar! Ona sasa tabata kumeoza hahaaa tehe
 
Uongo, kuna watu wanatoka mbali kuja Tabata kuchukua dawa za kurefusha maisha ili kukwepe fedheha katika maeneo yao, acheni hizo bana......

Hahahaha...unajua nilivyoona hii thread watu wawili tu wamenijia kichwani.
1. kaka Mtambuzi
2. bikra Smile
 
Last edited by a moderator:
ni kweli watu wengi hawachukui madawa sehemu zao.maana ukienda mtu akikujua anatoa siri.fulani nimemuona,ingawa yeye hajisemi.ukimwi upo kila sehemu,na ngono imegeuzwa kama mkate wa kila siku
 
Inawezekana kabisa hivi ulishawahi kufanya utafiti mdogo tu watoto wazuri wengi wa kike hawa madenti, wa nyumbani wako tabata

Na masharobaro wengi wasio na kazi, wanyoa viduku wengi wako tabata

Na asikudanganye mtu kwenye madanguro machangudoa wanajilinda na kondomu ile mbaya hawa watu wa street wanagegedana kavu kavu kama hawananakili nzuri

Tumia akili ya kuzaliwa ulishawahi piga malaya kavu kavu? Jibu ni hapana

Ila watoto wa mtaani. Tunawala 0713 kavu kqvu lainiii..,shauri zenu
 
Huu ni ukweli kuna magroup na makundi ya majimama yanasambaza ngoma makusudi kwa vijanapenda slop!
Wanawaambukiza makusudi vijana nao wakirudi kwa mademu zao wanawapa!kuna wamama wapo segerea ndio zao wapo kama sita hivi na wanapesa....kuna kundi linatokea kimanga.....alafu kuna lile la dar west lazima uwakute kwa mama seth pale karibu na hospital ya waislamu pale ....wako kama saba au kumi...
Wanahonga magari na feniture za ndani vijana alafu wanawamwaga na kutembea na mwingine wakiongozwa na mama seth.

Ni kweli kaka hawa wa mama wa Segerea ni noma na wanahonga kisawasawa.
 
Uongo, kuna watu wanatoka mbali kuja Tabata kuchukua dawa za kurefusha maisha ili kukwepe fedheha katika maeneo yao, acheni hizo bana......
Mbona imekutouch sana hii mada, au uanaishi kipande hiyo ya Tabata?

Kama kweli unaishi huko Tabata na Status uliyojizolea hapa JF, inawezekana huyu mleta mada ameileta kwa lengo la kukusabotage, hasa kwa kuwa inajulikana una idadi kubwa ya 'wake' uliowapata humu JF!!

Lengo lako kubwa ni kufuata nyayo za yule mzee wa kihindi, ambaye uliweka thread yake humuJF, ukidai siri yake ya kuishi miaka mingi ni kutokana na kuwa na wake wengi!!

Kwa hiyo kwa hii mada ya kuwapakazia Tabata kuwa wengi wao ni carriers, maana yake ni kuwa wale vidosho wako wengi, ambao wanapita humu JF, watakumwaga kwa hofu hiyo ya Tabata kuwa ni 'DANGER ZONE' na kwa maana hiyo ile ndoto yako ya kuvunja rekodi ya yule mzee wa kihindi kwa kuwa na wake wengi na kuishi maisha marefu, matumaini hayo yatakuwa yamepata pigo kubwa na yataanza kufifia kwa kasi kubwa!!
 
Back
Top Bottom