Let's Debate women vs men | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Let's Debate women vs men

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Binti Maringo, May 8, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok like a minute ago mimi and my co-workers tulikuwa tunatembea for a 15 minutes break.....(aLL Females and african america)...actual most of them wana african friends lakini ni nigerian or liberia... while walking this one girl came up with a topic about guys and big mandingo...and she said soemvody from facebook her old schoolmate from 3rd grade send her a picture of his dudu......then while conversating (if that is the word)...ont he the girl asked me a question....and i would liek to discuss with you guys in here...

  swali lake ni hili.....why do african women blame on african man that hawajui kufanya mapenzi?..and same time anasema ukienda kwa african men they complain the same thing and say that african women are so concervatives.....

  she was basically asking me ili ajue ukweli upo wapi mimi nilichomuuliza kwanz awho have you been talking too akasem anigerian women and men...

  Nikamjibu i dont have bad experience with my tanzanian men so....

  what is your take in here is it true

  women=====kuwa wanaume w akiafrika hawajui mapenzi?

  men=====wanawake wa kiafrika wako so conservative and duni kwenye suala la unyumba?.....


  xoxo
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mapenzi ni psychology; ukishaiweka kichwani kuwa waafrika hakuna kitu, hata kama ukikutana na mimi itakuwa kazi bure. lakini ukikutana na mzungu, kwa kuwa iko kichwani mwako hao ndio best basi ndicho utakachokipata.
  i think the variability among the africans is the same as that among the whites particularly women (ndio kusema kuna conservatives kwetu na kwao, na kuna liberals vile vile, kote kote!); wanaume sijui, lakini I have a feeling "possibly biased" kuwa wazungu wachovu.
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Maongezi ya Afican Ladies wanapokutana huwa yako centered around this/similar useless topic. Mna natatizo gani? Maana wanaume wanapokutana huwezi kusikia wanaongelea haya!
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kukosa kazi.....majungu na vitu kama hivyo.....badala ya kuongelea mustakbali wa nchi wao wanaongelea mishedede ipi mikubwa na midogo ati nani anajua kufanywa au kufanyishwa mapenzi..damn!
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana ikaitwa 15 minutes break...that means you can talk about anything ku refresh mind yako.....

  wewe unafikiria kuongelea nchi all the time?.......you are being rudiculous for really!......kama unaona ni big deal why unakuja kwenye idhaa ya mapenzi hukuy na usibakie kwenye siasa?.....

  Negativity is in your blood...no wonder WOS alikupa vidonge vyako....
   
 6. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we unaishi wapi? is sex a useless topic?! u are damned! sex is everthing ... think harder, you will know it.
  Sex is life, la sivyo dunia inakwisha! hhhaaa hhaaaa
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Salute............Outlier!.......


  Hawa ndiyo wale watu wenye fikira potufu when it comes to females......wanafikiri kila wakati ni wakati wa laga tuu na siasa na kwamba sex is overated.....hata foreplay kwao kosa.
   
 8. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni KUJITIA wana 'more important issues' when in fact there is nothing important. hata kujadili siasa kwenye jf ni sawa na kuongelea sex kwenye 15 min break vile vile!
   
 9. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hahahaha watu wengi wanaopenda kuzungumzia sex muda wote either hawapati au wanapata kwa nadra.

  Kuhusu swali la Kelly, Ukiingia kwenye uhusiano tayari una mentality ya kuwa African men suck in bed hutoridhishwa ata kama utakutana na African Casanova kwa sababu ishajijenga akilini kuwa hawawezi kazi.
   
 10. idea

  idea Senior Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  African ladies wanapokutana wewe unakuwa wapi kuwasikiliza wanachoongea. Tukisema wewe una umbea tutakuwa tumekosea? Mapenzi ni muhimu sana ndio maana na wewe ukazaliwa. How dare to say is useless topic? Teeteeee kama una mpenzi kazi anayo.
   
 11. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Trend inaonyesha kwamba wanawake wa humu JF baadhi yao wamespecialize katika mapenzi. Hakuna wanachoweza kuchangia humu isipokuwa mapenzi. Kama huamini nenda jukwaa la mahusiano uone vituko vyao!

  Kina WoS, Haika, na Kelly na sometimes wanapost kwenye majukwaa mengine kama siasa na Michezo - hapa ni pa Belinda , waliobaki wote wanaongea mapenzi tu, mfano 4X4Xfar, Penny, Nyamayao etc. JF ni jukwaa huru we dare to talk openly, lakini maongezi yako yanareflect tabia zako.


  Hawa ni wanawake waliodeclare jinsia zao.
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Na hakuna watu wanao discuss mambo machafu kama wanaume....ni afadhali hata wanawake we do discuss important issues ili kuweza kusaidiana....

  Hilo ni swali zuri sana Idea kuwa wanawake wanapooongea yeye anakuwa wapi kama siyo anakuwa anasikiliza na usikute anatoa naye hoja yake....i doubt kama ku-discuss about sex ni upumbavu kama ni hivyo wasingekuwa wanaonyesha kwenye tv au kwenye vitabu au hata mashuleni they do fundisha sex.....sema wanaume wa kiafrika wana mentality potofu sana.
   
 13. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Issue ni kwamba why African Ladies? (Na hii siyo observation yangu binafsi)
   
 14. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Babu wee hebu tuachege na wewe! kinachokusumbua ni nini sasa, kila mtu na fani ndugu, mimi ni mpenzi wa mapenzi na siasa yote iliyomo naifahamu. Sioni tatizo kama ndio relection ya tabia yangu, ni kweli napenda mapenzi kama wewe unavyopenda siasa. Hebu tukomege babu.
   
 15. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ubaguzi wa kijinsia naona ushaanza! mmeshatoka nje ya topic jamani tafazali...
   
 16. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mara ooh huyu mpenzi wangu vile, sijui hivi...wewe hukufundwa kwenu? Jifunze kuhandle issues zako, jifunze privacy. Au una pepo...? maana umeshadeclare unapenda mapenzi...
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Icadon my dear ........kumbuka huyu aliyeniuliza siyo mwanamke............. wa kiafrika ni mmarekani......ana marafiki wa kinigeria na liberia na wao ndiyo walivyomwamboa hivyo kuhusu wanawake wa kiafrika walivyo conservatives na ..............kwamba not good when it comes to sex na hiyo comment.................. imetoka kwa mwanaume wa kiafrika..........so ametoka hapo akaenda kuuliza wanawake aweze kupata ..............their point of view akapewa negative comment about them....so anauliza what is the deal with both gender (africans)..................
   
 18. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kabisa huku nikubaguana kwa kweli, hebu waambie hawa wabaguzi. Kwanza hivi hajui kwamba mapenzi ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu...isingekuwa hivyo angezaliwa yeye! na kama kweli yeye hafanyi mapenzi au hatendi si angekuwa na minyege ya mawazo (depresion) hata kudonoa hiyo keyboard ingekuwa soo! Usituleetee hizo bwana.
   
 19. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I do agree with you ............kuwa siyo kila wakati una base ons ex...there some other issues we can discuss ilikuweza kupanua mawazo...maana kuna other stuff mtu mwingine anaweza kujua na mwingine hajui.............ni kiasi cha kueleweshana!....


  Thanks!

  xoxo
   
 20. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Ona sasa akili zako zilipo.
   
Loading...