Spencer Cox appears in the documentary "How to Survive a Plague," which has been nominated for an Academy Award.
Protesters in front of the New York Stock Exchange in 1989 demonstrating...
Oscar pistorius kaka yake anahusika na mauaji na yeye .kama kaka muuaji mdogo mtu je ?Oscar amemuua model girlfriend wake.Kweli unaweza date family ya hivi au ? Unaweza olewa na Mwizi au jambazi...
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto...
Mke akibeba mimba na kujifungua unaweza kumsubiri hadi miezi mitatu ndiyo muendelee na tendo la ndoa.Kama umeoa mwanamke ambaye akibeba mimba anakuwa kwenye bed rest (mapumziko) mpaka ajifungue...
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30
MUME INABIDI...
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na...
Husband coming home at 4am? is that ok?
Around once a week my husband goes over to his friends house to watch series movies and play video games,
he doesnts come home until around 4am. Another...
There was drama in Highfield, Zimbabwe on Sunday night when a married, female pastor was evicted from her matrimonial home after she was reportedly caught pants down with a married man in their...
Jamani watanzania tuwe makini sana na afya zetu ,Imagine kuna super Market maarufu sana huku Arusha Soko kuu, kila siku nilikuwa naisikia ukitaka kitu ambacho hakipatikani tena ni kwa bei chee...
Habari zenu wana MMU?
Leo nimerudi baada ya muda kupita, kiufupi mambo bado hayajakaa vizuri kwa upande kwani kila ninapojaribu kuwekeza mambo yanaharibika...
Kilichonileta ni hiki, kuna...
Familia yangu wote wamesafiri,nimebaki nyumbani na binti yangu (19 yrs) na house girl wangu (19yrs).Usiku nimepata dharula ya kiafya nikiwa bafuni chumbani kwangu naoga, na ninahitaji msaada wa...
Hali zenu wanaMMU?
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa nafanya kazi katika Ofisi fulani hapa DODOMA alitokea baba mmoja akawa mteja wetu mzuri kiasi kwamba hawezi kumaliza siku mbili hajaja kufanya...
naomben mnisaidie wana jf wenzangu...me ni msichana nmedumu na my bf takriban miaka 4 mapenz yetu yalikuwa mazuri before my bf ajapata kazi now kapata kazi kanibadlikia sana mpaka siamini kama ndo...
Sifa zake awe mrefu usiopungua futi tano
sichagui dini wala kabila
elimu yake kidatochanne na kuendelea
itakuwa poa sana akiwa na makalio makubwa ya hamasa
awetayari kuishi mkoa wa mbeya...
Kiukweli nilimpenda huyu kimwana,nilimpatia humu humu ndani na tayari nilishampa makazi ndani ya moyo wangu na nilimuahidi kama atafata masharti yangu ningemposa kabla ya june.
Moja ya masharti...
je iwapo utakaa mbali na mpenzi wako ,kwa mda mrefu na unampenda na huwezi kumcheat,je kutokufanya mapenzi muda mrefu ,labda miaka minne kuna madhara yeyote kiafya,,mimi ni mwanaume
"Lini umekuja kuwa mzabzab ndugu yangu?"
"Mwaka 2000 nilijiunga na chuo nchi jirani ya Uganda. Hadi wakati huo sikuwahi kukutana na binti kimwili kwani niliamini kuwa nikijitunza na mimi nitapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.