Life is good and very precious

Life is good and very precious

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,767
Reaction score
288,340
attachment.php

Attachments

  • 599.jpg
    599.jpg
    42.9 KB · Views: 1,370
Last edited by a moderator:
Asante sana rafiki kwa hii msg, naamini wengi tutakuwa na weekend njema.........
nawe uwe na weekend njema sana
barikiwa sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzima rafiki? Teja hajambo? mpe salam nyingi sana toka kwa BAK, ahsante kwa kunitakia weekend njema. Kila la heri na baraka katika penzi lenu moto moto :majani7:

Let me tell u this!
'
Umesema maisha ni mazuri kivipi?Kwa mtazamo wa nani?Kwa kiwango kipi?
'
May be yours,but kuna watoto wanakufa kwa njaa Somalia.
'
Kuna akina mama wanajifungulia porini kwa sababu ya vita.
'
Kuna watoto wanakufa kwa kuwa wazazi wao hawana hela ya kuwanunulia dawa kilomita chache kutoka hapo ulipokaa na tarakilishi yako.
'
Kuna watoto wameshindwa kwenda hata shule ya msingi kwa kuwa wazazi wao wameshindwa hata kuwanunulia sare za shule.
'
Mambo ni mengi sana,sijui umesema hivyo kwa viwango vya CCM?Au nani.
'
Mzee unataka kunikumbusha machungu asubuhi hii?
 
Mzima rafiki? Teja hajambo? mpe salam nyingi sana toka kwa BAK, ahsante kwa kunitakia weekend njema. Kila la heri na baraka katika penzi lenu moto moto :majani7:

Ha ha haaaa, rafiki umenikumbusha mbali sana, naomba nisiseme hapa, lol!
teja hajambo kabisa naona kilevi kinazidi kumkolea, sijui mifanye nini! Nitafikisha salamu zako rafiki.
asante sana kwa wimbo.......... Sijui utakaukiwa lini rafiki? Kila siku mambo mapya. Nawe msalimu teja huku kwako
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Rafiki mna bahati sana nyote wawili maana mmeshikana na mkashikamana, wengine hawana bahati hiyo pamoja na kuwa wanajitahidi kushikimana lakini wenzao hawawashiki matokeo yake kila siku na maumivu ya moyo tu kama huyu mrembo ambaye ni mrembo kama nanihii :behindsofa: lol!

Usiwe na wasiwasi Rafiki siku nikikaukiwa kwenye kisima changu nitakutaarifu rasmi lol! lakini kwa sasa suuuzika na roho yako, mwambie pia Teja aendelee kunyonya ila asisahau "Kwa hisani ya BAK wa JF" lol!

Ninachoweza kufanya kwa sasa ni kumpa pole......hakuna kitu kigumu Kama kupata maumivu ya moyo, hayaponagi haraka yale.......si unakumbuka story ya yule mtu wangu?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Utajiju!!! hahahahah lol! salam zao kwenye nyuzi nyingine ukichoka pitia huku usisahau kumstua na Teja achungulie :majani7:

Rafiki miziki yako inanifanya nisiende kwenye uzi nyingine, lol!
life is soooooo good..........lol!
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasiwasi Rafiki siku nikikaukiwa kwenye kisima changu nitakutaarifu rasmi lol! lakini kwa sasa suuuzika na roho yako, mwambie pia Teja aendelee kunyonya ila asisahau "Kwa hisani ya BAK wa JF" lol!

Salamu zimefika rafiki......yaani jitahidi usikaukiwe maana mateja wengi huku
 
Last edited by a moderator:
Utajiju!!! hahahahah lol! salam zao kwenye nyuzi nyingine ukichoka pitia huku usisahau kumstua na Teja achungulie :majani7:

Bado sijaenda kwenye nyuzi nyingine rafiki, nilikuwa nasuuza roho na vibao vyako........ Life is good rafiki.
ngoja niite teja mwingine aje naye asuuze roho yake......mlongo wangu snowhite Unaitwa huku.... Eti member wa uteja wamefika wangapi?
 
Last edited by a moderator:
Waswahili wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi rafiki, naikumbuka story ya yule aliyevunja rekodi ya kutokata tamaa.

Ninachoweza kufanya kwa sasa ni kumpa pole......hakuna kitu kigumu Kama kupata maumivu ya moyo, hayaponagi haraka yale.......si unakumbuka story ya yule mtu wangu?
 
Last edited by a moderator:
Waswahili wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi rafiki, naikumbuka story ya yule aliyevunja rekodi ya kutokata tamaa.

Umeona eeeeh! Hebu jaribu kulala mlango wazi uone majambazi Kama hayajakuingilia, lol"
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yule zumbemkuu ni aje? hahahahah lol! kuna tetesi kila akikuchungulia kwenye mtungi basi mtungi hulia PAA! hahahah lol! umepasuka!!!! kuna tetesi mitungi yake mitano imepasuka lol!

Bado sijaenda kwenye nyuzi nyingine rafiki, nilikuwa nasuuza roho na vibao vyako........ Life is good rafiki.
ngoja niite teja mwingine aje naye asuuze roho yake......mlongo wangu snowhite Unaitwa huku.... Eti member wa uteja wamefika wangapi?
 
Last edited by a moderator:
mkuu BAK haka katoto FP kamenitoa nishai, sitaki hata kukasikia, sijui kanatokea Kigoma?
ona kalivyoharibu usafiri wangu....
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha lol! Aisee umenichekesha sana hahahahah lol! Rafiki yangu FP utamfanya awe na tumbo joto lol!

Back
Top Bottom