mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana JF natumai muwazima wa afya?
Kwa hakika nimekuja kuliza suali kwa akina dada zaidi ingawa na wanaume wanaweza kuchangia kulingana na uono wao.
Hebu vuta picha ww mwanamke kwa yule fist boyfriend wako ambaye alivunjwa ile hazina na kukupa maumivu kwa hakika alifanya kazi kubwa kwa kutumia akili na maarifa pengine kwa mda huu tayari mumeshatengana kwa sababu fulani na una mwengine swali ni jeee endapo kama atarudi na kukuambia PLZ 4GIVE ME I STILL LOVE YOU uko tayari kumuacha ulienae na kurudi kwake?
Hii inatokana na wanaume wengi kujigamba kua mwanamke ambae utakua wa kwanza kumuingia hawezi kukusahau maishani mwake jeee ni kweli?