Strange-She is back-Nifanyeje sasa

Strange-She is back-Nifanyeje sasa

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,234
Wadau wa MMU, Heshima kwenu

Kwa mara nyingine nimeamua kuwashirikisha hili.

Niliwahi ku post thread kuhusu binti niliyempenda sana Leah,

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/215780-niko-njiapanda-sijielewi-jamani.html,

Aliniacha na kunifanya niteseke sana.Maisha yangu yalikua ya hovyo mno tangu mwaka 2009 -2010 nilivoachana nae.Nimebadili wanawake sana nikidhani naweza tii kiu ya penzi la dhati la mtu ninaempenda lakini imekuwa sivyo.Pia niliwahi kuweka uzi huu
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/251439-nimebanwa-sasahivi-two-girls-in-my-home.html,

hii ni moja kati ya mapito niliyokua napitia.Ki ufupi nilikua na tabia mbaya (Umalaya/Call it uhuni) kwa kubadili sana wanawake.

Lakini katika kipindi chote hicho Leah hajawahi kutoka akilini na moyoni mwangu pamoja na kujitahidi sana kumsahau na kujitahidi kumpenda binti niliyekua naye.

Hivi karibuni kwa muda wa miezi minne iliyopita hadi sasa Leah amerudi kwangu,amerudi akidai kuwa hakuwa anahisi kunipenda kwa kipindi kile tulipokua pamoja ati alikua anajitahidi tu.Baada ya kupitia maisha mengine na boyfriend wake ametambua kwamba she belongs to me,ameamua kurudi innocently na anaomba nimuoe.

Kilichonishangaza kidogo alipokua na boyfriend wake huyo hawakuweza ku sex na alibaki kuwa bikira (She is 23 now).Na mimi nimefanikiwa kuwa mwanaume wake wa kwanza just two weeks ago.

Wadau hapa nahitaji ushauri wenu kwamba huyu msichana naweza kuendelea nae hasa ukizingatia jinsi alivoniacha mwanzo na kunitesa vile? Naona kama ana roho ya kinyama sana.Wadau,ninyi mnazo experiences mbalimbali naomba mnisaidie katika hili.

Thanks
 
Usikilize moyo wako otherwise wanadamu wanamawazo mengi maana kuna mtu anaweza akakushauri eti muue so utafanya hivo

Asante mkuu,ntasikiliza ushauri ntachanganya na akili zangu then ntafanya kinachostahili.
 
bikira za siku hizi sio za kuamini saaaanaaa....anyway fuata moyo wako usiache moyo wako ukathibiti akili zako
 
kaeni chini mzungumze muweke mipango endelevu....
 
She is loving u! After all umesumbuka juu yake then waswahl wasema m2 hujifunza kutokan na makosa na kosa c kosa bali kurudia kosa ! Akoding to your previous thread shows that u loved her so much and u still love her so dont leave her marry her she is your wife god gives u! Al th best!
 
Wadau wa MMU, Heshima kwenu

Kwa mara nyingine nimeamua kuwashirikisha hili.

Niliwahi ku post thread kuhusu binti niliyempenda sana Leah,

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/215780-niko-njiapanda-sijielewi-jamani.html,

Aliniacha na kunifanya niteseke sana.Maisha yangu yalikua ya hovyo mno tangu mwaka 2009 -2010 nilivoachana nae.Nimebadili wanawake sana nikidhani naweza tii kiu ya penzi la dhati la mtu ninaempenda lakini imekuwa sivyo.Pia niliwahi kuweka uzi huu
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/251439-nimebanwa-sasahivi-two-girls-in-my-home.html,

hii ni moja kati ya mapito niliyokua napitia.Ki ufupi nilikua na tabia mbaya (Umalaya/Call it uhuni) kwa kubadili sana wanawake.

Lakini katika kipindi chote hicho Leah hajawahi kutoka akilini na moyoni mwangu pamoja na kujitahidi sana kumsahau na kujitahidi kumpenda binti niliyekua naye.

Hivi karibuni kwa muda wa miezi minne iliyopita hadi sasa Leah amerudi kwangu,amerudi akidai kuwa hakuwa anahisi kunipenda kwa kipindi kile tulipokua pamoja ati alikua anajitahidi tu.Baada ya kupitia maisha mengine na boyfriend wake ametambua kwamba she belongs to me,ameamua kurudi innocently na anaomba nimuoe.

Kilichonishangaza kidogo alipokua na boyfriend wake huyo hawakuweza ku sex na alibaki kuwa bikira (She is 23 now).Na mimi nimefanikiwa kuwa mwanaume wake wa kwanza just two weeks ago.

Wadau hapa nahitaji ushauri wenu kwamba huyu msichana naweza kuendelea nae hasa ukizingatia jinsi alivoniacha mwanzo na kunitesa vile? Naona kama ana roho ya kinyama sana.Wadau,ninyi mnazo experiences mbalimbali naomba mnisaidie katika hili.

Thanks
Anaweza alikuwa anakudanganya ukute hakuwa na boyfriend she just wanted to left a lone.Yupo virgin wewe Tatizo lako ninini?
 
umesema; ulikuwa na tabia ya umalaya, je wewe na huyo mwenzako kwa kipindi choote ambacho hamko pamoja ye kapita huko na we umepita huku(NA HIYO BIKIRA YA MAGUMASHI) na sasa mmekutana je MMEPIMA.......?
 
Usiusikilize sana moyo ebu tumia na akili pia,manake moyo unapenda mengi lakini sio lazima tuvipate vyote...jee atakufa atakapo kua mke? jee amefikia kiwango chakua mke asiwe 100% lakini yale unayoyataka wewe.....
 
Every human being deserves a second chance.....Goodluck and all the best.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom