CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Tumsifu Yesu Kristo.....
Natumai wengi wenu mmekwisha toka makanisa kwa ajili ya Misa ya Jumatano ya majivu
Si vibaya kama tukashare kile ambacho mmejifunza katika misa hiyo...
Kwaresma njema wapendwa!!!