Sifa za warangi kutoka dodoma!.....

Status
Not open for further replies.

Anthonio

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
202
21
Wana JF naombeni sifa za wanawake wa KIRANGI kutoka WILAYA ya KONDOA na CHEMBA MKOA WA DODOMA.
Tafadhali!......
 
ni wakarimu sana ndani na nje,uumbaji wa Mola haukuwatupa mkono.
 
Kuna topic humu imewachambua hao watu nje ndani,mwenye kujua namna ya kuiweka naomba aitupie hapa kisha mkuu pitia humo utapata kila unachohitaji kuhusu hao warangi
 
hilo kabila ni nyokooo.hii topic ilishawekwa humu gfsonwin mpe link wasitujadilishe mara 2
all in all unaoa mtu mmoja si kabila
so jipange meeen
 
Last edited by a moderator:
ni wakarimu sana ndani na nje,uumbaji wa Mola haukuwatupa mkono.

wakarimu tena zaidi ya sana bidada,unaweza kugonga ukoo mzima halafu barida tu,hata hawaoneani wivu eti,watu poa sana hawa
 
Wahehe wote wanywa ulanzi.
Wachaga wote wanywa mbege.

Kwa mawazo ya kukari hatuwezi fika mbali,

nani amesema wote? wewe ndio umesema wote, mimi nimesema walio wengi. hata kisayansi general laws zinatengenezwa kwa kutumia regular occurance ya event na mwisho theory inatengeznezwa!! wangekuwa wengi hawako hivyo watu wasingesema hivi. Hizi ni data za kisayansi kwa research zilizofanyika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom