R.i.p my lovely dad

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii. Alipenda kuishi kwa mifano,alijenga misingi ya sisi kujitegemea.
Hakika siwezi kumsahau baba yangu,mshauri wangu, na rafiki yangu. Juhudi zake na baraka zake nazishuhudia hadi leo hii.
Baba, kama Mwenyezi Mungu atatukutanisha tena Mbinguni na kunitaka nichague baba,wewe utaendelea kuwa ni baba yangu pekee na chaguo langu sahihi.
I feel proud to be your son.
 
::
Pole sana ijoz
Nafasi yake moyoni mwako,,muongezee Mungu nayo misingi ya nyumba yako itaimarika.
=
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu. From experience i know how it feels to loose a father. I hope you understand what i mean.

Mwanga wa milele umwangazie ee bwana. Apumzike kwa amani.
 
Ni vizuri kuona vijana tukiwakumbuka na kuwatunuku wazazi wetu, pole mkuu na hongera kwa kutambua misingi imara na upendo aliowajengea marehemu mzazi wenu. Sote tupo ktk uelekeo huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom