He devorced his wife for being ugly and won the case

He devorced his wife for being ugly and won the case

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    17.3 KB · Views: 88
tatizo langu kienglish sikielewi vizuri kama kiswanglish au kiswahili,huyo mwanaume naye alishidwaje kula kitumbua mpaka kikaliwa na wenzie?
 
yani kampotezea muda mwenzie
kamzeesha,hana mvuto thn anamuacha
mi lazima acid ingehusu!
ningeharibu reception aone utamu wake!
 
Daaah namshangaa huyo jamaa hao wachina wote walivyofanana hata huyo atakae mpata si atafanana na huyo aliyemuacha..in china all men and women are the same(look a like)
 
Mimi bado sijaonaga KOSA...maana yeye kapenda wa sasa na sio wa zamani, sasa ishu iko wapi?
 
Back
Top Bottom