Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Jaman habarini wapendwa.naombeni mnijuze juu ya hili kwamba mnawezaje kuzungumzia suala la umri ktk mapenzi.yan je kuna madhara yoyote ikiwa mwanaume na mwanamke wataoana wakiwa wana umri sawa? Au uliopshana yan mf: msichana miaka 26 then mwanaume miaka 28 kwan kwa upande wangu huw naamini atlist mwanaume n mwanamke wapishane miaka 5-10 ndiyo ndoa iwe imara na heshma,au kigezo cha umri huw hakna umuhmu ktk mapenzi(ndoa)? karibu kw mchango wako nipate kuelewa vema..