Nawa miss sana wana dhb

Nawa miss sana wana dhb

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Mara nyingi huwa sio mchangiaji sana kwenye jamii forum, ingawa huwa napenda sana kusoma mada zenu na kuona jinsi zinavyochangiwa kwa ustadi mkubwa. na wakati mwingine hata mabishano makali hutokea ingawa huwa lengo ni kuiweka mada ieleweke.

Hapo nawapa BIG UP sana.

Mimi leo naomba kuwa tafuta wana JF ambao waliwahi kuwa member kwenye chat ya DAR HOT WIRE miaka ya 2000 hadi 2004. mimi nilikuwemo mle, nikitumia jina la DR HURRIS..

Kusema kweli nimewa miss sana, kulikuwa na wachatiji wakali sana, na kwakweli wakati niliipenda sana.

baadhi wapo humu nawaona majina yao nawakumbuka, lkn najua kuna wengine watakuwa wamebadili majina.

kama vipi tuwasiliane hadharani au hata kwenye PM.

poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom