Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama wewe ujawai tumia bomba la maji kunawa huko la pressure namna ya picha hapo chini. Unakosa kujiburudisha. Kwa utafiti uliopo, wadada wengi maofisini kutwa wanaenda toilet kujipiga pressure...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Man forgets $81K on train, 2 teens return fortuneBy Michael Krumboltz | The Upbeat – 12 hrs ago Email0 Share16 Print A train travels through the Scandinavian mountains (Thinkstock) Two...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Nyinyi wadada naomba kufahamu. Mimi nipo katika hili duka la kuuza bidhaa zenu kumfanyia shopping mwenzenu nidumishe penzi wazandaki wapate tabu kulitubua. Wamekuja wadada takriban kumi na moja...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Katika filamu maarufu ya Shaka Zulu kuna sehemu anamuambia mama yake: You have no capacity for such emotion. Kwa tafsiri ya moja kwa moja: Huna uwezo wa kuwa na hisia hiyo. Hapa alikuwa...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Amekuwa rafiki yako muda mrefu,mnaongea,mnacheka,sometimes mnatoka Outing pamoja,una feelings nae lakini humwambii unadhani ataota unampenda??Unajichekelesha tu muda wote,wenzio walio straight...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadada mjiheshimu mavazi mnayovaa siku hizi yanawadhalilisha, unafikri ukivaa vizuri hamtatongozwa mnakera sana.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
A,alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Ritz. MziziMkavu. AshaDii. Na members wote wa JF. M/MUNGU atujaalie kheri, neema na baraka tele. Atuondoshee maradhi na atujaalie afya njema. JUMAA MUBARAQ.
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapoamua kumwambia mtu its over hakikisha umejipanga,na unamaanisha kwamba Its Over na una Plan B ya kumove on..Kuna watu hawataniwi,unakurupuka kumwambia Its Over kumbe alikuwa anakulia timing...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nimewaza na nikaona tujadili umuhimu wa kujitunza sisi kama vijana. Maswali mengi tu nimejiuliza kichwani, swali kubwa ni kwani sisi vijana hatuwezi kujitunza? Dini zote zinasisitiza watu...
20 Reactions
28 Replies
5K Views
Wanawake wa siku hizi..Wana uongo kuliko Dibaji wa kwenye Kamusi yaIbilisi wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 umuoe...Ukimtongoza anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Mapenzi ni usanii? Ni msukumo wa matamanio yatokanayo na silika inayoongozwa na mwamsho wa viungo vya uzazi mwilini? Kwa nini mwanaume yuko tayari kupata hasara ili mradi afanikiwe kumpata...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi...
0 Reactions
128 Replies
31K Views
Hi! Kama utatulizana kufanya ngono hadi wakati wa ndoa ni vigumu kucheat kwani utakuwa umeridhika na mmoja na siku zote utaona utamu alio nao ndiyo wa pekee kuliko wengine. Lakini kama ulikuwa ni...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana jamvi? Leo napenda nishare nanyi hili. Kuna rafiki yangu ofisini kwetu kaniomba ushauri ambao nikaona niwaletee nanyi tupate kubadilishana uzoefu. Jamaa analalamika kuwa mkewe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya Mimi ni nimeolewa nina...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna hili jambo naombeni msaada wenu: MWANAUME: Umeo na unaishi na mkeo katika ndoa na mnawatoto wazuri. Inatokea kwa bahati mbaya Mkeo anasafiri na kupatwa na Ajali mbaya sana ambapo katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na...
2 Reactions
113 Replies
11K Views
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu...
4 Reactions
15 Replies
10K Views
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
The beauty of a woman Is not in the clothes she wears, The figure that she carries, Or the way she combs her hair. The beauty of a woman must be seen from in her eyes, Because that is the doorway...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom