Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Amekuwa rafiki yako muda mrefu,mnaongea,mnacheka,sometimes mnatoka Outing pamoja,una feelings nae lakini humwambii unadhani ataota unampenda??Unajichekelesha tu muda wote,wenzio walio straight wamemwambia live,wamempasukia wakamchukua,unamchukia,unaanza kumsema vibaya kwamba hajali feelings,Feelings zipi??Wewe umemtreat kama rafiki hujataka kufunguka,naye amekuchukulia kama rafiki,kosa lake ni nini??
Ndugu zangu,Wanawake kwa Wanaume,FUNGUKENI,zile zama za kuekti muvi,unampenda mtu unaugulia tu ndani zimepita.Mwambie ujue moja,akikataa ujue la kufanya,utajifaragua unapoteza muda wajanja watamfungukia pwaaah wanamnyakua utabaki unalia..Ukipenda SEMA ili UPONE!- seth giovani