Wadada kwa nini siku hizi nyeupe

Wadada kwa nini siku hizi nyeupe

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Nyinyi wadada naomba kufahamu. Mimi nipo katika hili duka la kuuza bidhaa zenu kumfanyia shopping mwenzenu nidumishe penzi wazandaki wapate tabu kulitubua. Wamekuja wadada takriban kumi na moja hivi. Wamenunu chupi nyeupe. sasa kunani na chupi nyeupe. Mimi nilitegeme chupi nyekundu ndizo ishara ya mapenzi kama yalivyo maua mekundu.
Nikamdodosa muuza duka why kwa nini. Akaniambia ndugu siku hizi karibu kila mdada ndio rangi anayeipenda.
Embu wa dada, kulikoni ndio katalogi ama.
 
Ni kujishebedua au kuprove 'usafi thing'; sasa sijui usafi kwa maana wanajua kufua au mechanism za maumbile yao ya kike haifanyi kazi vizuri ya kutoa uchafu. Wangevaa everything white hadi skin jeans kama ni issue ya usafi!

Anyway wasubiri wadada waje, as for me l have almost all the colors ninazo zipenda.
 
za kwenda kwenye miadi na ma baby zao ili waonekane wanajua usafi.
 
Me mwenyewe huwa nashangaa
Me binafsi napenda rangi karibu zote tena kumechi na bra
White tu nadhani ni boring
 
Wachafu hao usafi wao mpaka wanapokwenda kwa mabwana nyeupe wataiweza binafsi navaa rangi zote najipenda sana sina chupi malum ya mtoko maana zote ni safi zinapendeza zinanukia huo ni ushamba tu i like black pink red na zingine mda mwingine kijivu pia inadatisha.
 
Wanasema Pant nyeusi yaonyesha wangapi wamezikwa huko kunako hahahahah
 
basi kesho umuoe, matei tei ya kila namna lol mie navaaga rangi zote na maumbile bahati mbaya hayaniruhusu sijui kuvaa thong lol
 
Me mwenyewe huwa nashangaa
Me binafsi napenda rangi karibu zote tena kumechi na bra
White tu nadhani ni boring

I knew l am not alone; imagine mtu katinga chuppi white na black bra.... maana bra nyeusi zinatoka sana madukani sasa kama chipi anapiga white hiyo black bra anaivalia wapi?
 
Wachafu hao usafi wao mpaka wanapokwenda kwa mabwana nyeupe wataiweza binafsi navaa rangi zote najipenda sana sina chupi malum ya mtoko maana zote ni safi zinapendeza zinanukia huo ni ushamba tu i like black pink red na zingine mda mwingine kijivu pia inadatisha.

Umeona eeh, kuna rangi sexy nyingi tu na sio white tu.
 
si unajua hizo huwa zinafubaa fasta japokuwa huwa zinavaliwa siku za matukio tu,..hapo ni replacement
 
naona tu ni jinsi mtu anavyopenda mwenyewe mimi napenda sana white blue na pink rangi nyingine kama red na black hazinivutii kabisa. White naipenda kuliko zote na navaa any time
 
basi kesho umuoe, matei tei ya kila namna lol mie navaaga rangi zote na maumbile bahati mbaya hayaniruhusu sijui kuvaa thong lol
chupi za nini? Mambo tu ya mzungu ukoloni tu huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom