Juzi juzi wakati natoka kazini nilipita mgahawa mmoja ili kupata chakula cha mchana,kama kawaida nilipewa huduma kama mteja lakini wakati nakula chakula alitokea binti mmoja ambaye alikuwa...
Jamani,niliwahi kuandika kwa kutaka kujua ni idadi gani ya mabao ambayo standard kwa mwanaume anapokuwa ana-do na mpenzi/mke wake lkn kwa bahati mbaya sijui nili violate taratibu za humu jamvini...
habari wana jf?
Jumapili inasemaje?
Leo napenda kuwahasa na kuwaonya wale wote wanaopenda kula chabo katika vyumba vya watu
especially wakihisi kunawapenzi wanatimiza au wanavunja amri ya 6...
Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (Chadema), ameitaka serikali kuanzisha kituo maalum cha kuwafundishia wanaume wanaopenda ngono ya dezo kutoka kwa walemavu wa viungo au akili.
Ushauri huo...
Kuna mwanamke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia jamaa ndoo yake. Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akamwambia yule...
BBC: Kisa na Mkasa;-
01. Sasa tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini. Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380...
Mimi ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume nina umri wa miaka 33, nina tatizo lina nipa shida katika maisha naomba ushauri wenu wana JF. nlipata msichana ambae alikua amezalishwa na mwanmme asiyekua...
Tumsifu Yesu Kristu!
Hongera sana ndugu yangu. You are really beautiful Onyinye! Sometime ur like Ifunanya! Nimeona nipate wasaha huu kukuandikia ili kukutakia heri na fanaka katika harusi yako...
Habari za week end wana JF?
Naomba kuuliza wana jamii hususan wa kike jee ya wapenzi wao wa mwanzo.
Kuna rafiki yangu ana mke na wameoana kwa miaka 6 bila ya matatizo yeyote yale.
Ila mwezi...
Hi MMU,
Je kuna tatizo gani iwapo kaka wa bwana harusi mtarajiwa kuwa msimamizi (bestman) wa bwana harusi huyo?
Note: kaka atasimamia harusi hiyo yeye na mkewe.
Ahsanteni.
Baada ya kukaa bila msichana kwa muda mrefu kdogo nimeamua kuwa na demu lakini tatizo linakuja pale ninapotaka kumtambulisha kwa washikaji nashindwa coz anafanyakaz kwenye lounge moja hapa mjini...
This may be funny,lakini wote tunajua hizi mambo zipo.Nataka tu-share uzoefu na kumbukumbu.Je,ulishawahi ku-date na mume/mke wa mtu?
Sio lazima ku-do! Lakini kile kitendo tu cha kutoka naye...
FIRST of its kind. See Tshepo and Thoba's groundbreaking wedding
A pair of South African men have tied the knot in what is believed to be the country's first traditional gay wedding.
Tshepo...
Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara...
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks...
NYUMBA INAPANGISHWA (HOUSE FOR LEASE)
AREA/ENEO: MBEZI BEACH WHITE SANDS, DAR ES SALAAM
ROOMS: ONE MASTER, TWO BEDROOMS,FANS,GATE WITH KITCHEN & FULL A/C
PACKING LOT FOR 15 CARS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.