Kupenda Kazi

Kupenda Kazi

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
Katika filamu maarufu ya Shaka Zulu kuna sehemu anamuambia mama yake: You have no capacity for such emotion. Kwa tafsiri ya moja kwa moja: Huna uwezo wa kuwa na hisia hiyo. Hapa alikuwa akimaanisha kuwa mama yake hana uwezo wa kupenda na wala hajawahi kuwa nao kutokana na maisha ya chuki na kisirani.

Kama kweli kupenda ni kurahisi basi misahafu isingetumia kurasa nyingi kutuagiza na kutukumbusha kuwa tupende. Hakika kupenda ni kazi ngumu hasa pale unapolazimika kuwa na mtu maishani. Ni kazi ya ziada kumpenda mwingine hasa yule umpendaye kwa dhati anapokuwa hayuko tayari kukupenda na kuwa nawe maishani.
 
Umenikumbusha movie ya shaka zulu jmos hii inabidi nifaye marudio
Kuna rafiki yangu mmoja yeye kila siku anasema kupenda kazi
 
Ile muvi inanikumbusha kuwa vita si kuwa na jeshi kubwa ila ni tactics. Shaka alikua na jeshi kubwa sana lakini alizidiwa tactics na wazungu.
 
Katika filamu maarufu ya Shaka Zulu kuna sehemu anamuambia mama yake: You have no capacity for such emotion. Kwa tafsiri ya moja kwa moja: Huna uwezo wa kuwa na hisia hiyo. Hapa alikuwa akimaanisha kuwa mama yake hana uwezo wa kupenda na wala hajawahi kuwa nao kutokana na maisha ya chuki na kisirani.

Kama kweli kupenda ni kurahisi basi misahafu isingetumia kurasa nyingi kutuagiza na kutukumbusha kuwa tupende. Hakika kupenda ni kazi ngumu hasa pale unapolazimika kuwa na mtu maishani. Ni kazi ya ziada kumpenda mwingine hasa yule umpendaye kwa dhati anapokuwa hayuko tayari kukupenda na kuwa nawe maishani.

Shaka was wrong
kuzungumzia hisia za mama yake
 
Unachosema n kwl, kimenikuta na mm, kuna mtu ninampenda sana lakini inaonyesha wazi yy hanipendi kama ninavyompenda maana ananiteasa sana kihisia, so nimeona nijiaribu kuwa mbali naye so if truly love me atanitafuta
Katika filamu maarufu ya
Shaka Zulu kuna sehemu anamuambia mama yake: You have no capacity for
such emotion. Kwa tafsiri ya moja kwa moja: Huna uwezo wa kuwa na hisia
hiyo. Hapa alikuwa akimaanisha kuwa mama yake hana uwezo wa kupenda na
wala hajawahi kuwa nao kutokana na maisha ya chuki na kisirani.

Kama kweli kupenda ni kurahisi basi misahafu isingetumia kurasa nyingi
kutuagiza na kutukumbusha kuwa tupende. Hakika kupenda ni kazi ngumu
hasa pale unapolazimika kuwa na mtu maishani. Ni kazi ya ziada kumpenda
mwingine hasa yule umpendaye kwa dhati anapokuwa hayuko tayari kukupenda
na kuwa nawe maishani.
 
Tatizo kubwa cher ami ni kua wengi wanadhani wanapenda kumbe wanajipenda zaidi. Mfano unakuta mtu anakwambia she misses you, unadhani it is because she wants to be with you and make you happy kumbe it is just because she wants you to be with her and make her happy. sijui unaona hiyo nuance hapo?

Mfano mngine: Anataka mwende Seychelles leave, ananunua na ticket kabisa, anabook 5 star. Unadhani ni zawadi kwako kumbe ni zawadi kwake mwenyewe wewe ni kama handbag, you are part of HER fun.

Basi mtu kama huyo hajui kupenda, anadhani anakupenda kumbe anajipenda mwenyewe tu. Anae kupenda atataka wewe uwe happy, and your happiness is what makes her happy. So anaweza kuja na mpango wa kukupeleka diner to make YOU happy, ukimwambia umechoka unataka muangalie movie ya kinigeria instead (Which she normally can't stand) basi anakubali na anapokuona unacheka zile grimaces zao anaona raha, just as if mngeenda diner because seeing you happy is what she wanted.
 
Katika filamu maarufu ya Shaka Zulu kuna sehemu anamuambia mama yake: You have no capacity for such emotion. Kwa tafsiri ya moja kwa moja: Huna uwezo wa kuwa na hisia hiyo. Hapa alikuwa akimaanisha kuwa mama yake hana uwezo wa kupenda na wala hajawahi kuwa nao kutokana na maisha ya chuki na kisirani.

Kama kweli kupenda ni kurahisi basi misahafu isingetumia kurasa nyingi kutuagiza na kutukumbusha kuwa tupende. Hakika kupenda ni kazi ngumu hasa pale unapolazimika kuwa na mtu maishani. Ni kazi ya ziada kumpenda mwingine hasa yule umpendaye kwa dhati anapokuwa hayuko tayari kukupenda na kuwa nawe maishani.

Sijawahi kuiangalia filamu hiyo; nirudi kuchangia mada: 'kupenda sio kazi ukimpata anayekupenda'. Kwa hali hiyo, yote yatakayotokea itakuwa ni mapenzi na sio kazi (ninakosa nanma ya kuelezea ninavyodhani neno kazi limetumika hapa). Ni kazi haswaa! kama utampenda asiyekupenda au amabye moyo wake unashindwa kukupokea kama mpenzi. Ni vema kuendelea kupenda pale utakapopendwa, na sio vizuri kumdanganya au kumsumbua usiyempenda ili kupunguziana hiyo kazi ya kupenda.
 
...Basi mtu kama huyo hajui kupenda, anadhani anakupenda kumbe anajipenda mwenyewe tu. Anae kupenda atataka wewe uwe happy, and your happiness is what makes her happy. So anaweza kuja na mpango wa kukupeleka diner to make YOU happy, ukimwambia umechoka unataka muangalie movie ya kinigeria instead (Which she normally can't stand) basi anakubali na anapokuona unacheka zile grimaces zao anaona raha, just as if mngeenda diner because seeing you happy is what she wanted.
Mbona kama bado ni "mule mule" tu!? Inaanza na "ubinafsi" ambao sote tumeumbwa nao.
 
Kuna happiness inayo yokana na kufanya kitu ili wewe uwe happy moja kwa moja (direct link), even using other people sometimes, na kuna hapiness inatokana na kumfanya mtu mngine kua happy (inderect link). Ikiwa unamfanya mtu awe happy na hata happiness yake yenyewe haikufanyi wewe kua na furaha basi hiyo sio sustainable sababu huna motivation yoyote, utaishia kuona kama ni sacrifices tu.
To me life is about happiness, giving and receiving. Na ukiwa na hii philisophy ndio unapata kwa undani maana ya "there is more pleasure in giving than receiving", mnakua mnashindana tu who will make mwenzie happier ili mwenyewe awe happy.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tatizo kubwa cher ami ni kua wengi wanadhani wanapenda kumbe wanajipenda zaidi. Mfano unakuta mtu anakwambia she misses you, unadhani it is because she wants to be with you and make you happy kumbe it is just because she wants you to be with her and make her happy. sijui unaona hiyo nuance hapo?

Mfano mngine: Anataka mwende Seychelles leave, ananunua na ticket kabisa, anabook 5 star. Unadhani ni zawadi kwako kumbe ni zawadi kwake mwenyewe wewe ni kama handbag, you are part of HER fun.

Basi mtu kama huyo hajui kupenda, anadhani anakupenda kumbe anajipenda mwenyewe tu. Anae kupenda atataka wewe uwe happy, and your happiness is what makes her happy. So anaweza kuja na mpango wa kukupeleka diner to make YOU happy, ukimwambia umechoka unataka muangalie movie ya kinigeria instead (Which she normally can't stand) basi anakubali na anapokuona unacheka zile grimaces zao anaona raha, just as if mngeenda diner because seeing you happy is what she wanted.

mon ami, falsafa yake nimeielewa ila kama alivyosema mchangiaji mmoja, kupenda huanza kwa kujipenda mwenyewe na wengine husisitiza kuwa mtu asiyejipenda hawezi kumpenda mwingine - na ndio maana mwenye hekima mmoja alisema mpende jirani yako kama nafsi yako.
 
Tatizo kubwa cher ami ni kua wengi wanadhani wanapenda kumbe wanajipenda zaidi. Mfano unakuta mtu anakwambia she misses you, unadhani it is because she wants to be with you and make you happy kumbe it is just because she wants you to be with her and make her happy. sijui unaona hiyo nuance hapo?

Mfano mngine: Anataka mwende Seychelles leave, ananunua na ticket kabisa, anabook 5 star. Unadhani ni zawadi kwako kumbe ni zawadi kwake mwenyewe wewe ni kama handbag, you are part of HER fun.

Basi mtu kama huyo hajui kupenda, anadhani anakupenda kumbe anajipenda mwenyewe tu. Anae kupenda atataka wewe uwe happy, and your happiness is what makes her happy. So anaweza kuja na mpango wa kukupeleka diner to make YOU happy, ukimwambia umechoka unataka muangalie movie ya kinigeria instead (Which she normally can't stand) basi anakubali na anapokuona unacheka zile grimaces zao anaona raha, just as if mngeenda diner because seeing you happy is what she wanted.
hv ile massage treat ulishaipata!
i owe yu one i see!
dah!
well utachagua wewe ipi,wapi,na nani,lini,saa ngapi!lol nimejifunza kitu i see!
 
as for me, love is defined according to two hearts intimacy. kama mtu hajakukaa moyoni na yeye kukukaa sidhan kama love can be as difficult as one can mention.

however love means doing something which pleases another person than it pleases you. like umeolewa/oa ikatokea shemeji akaugua sana basi ili kuonyesha upendo do what your spouse would wish you to do. kama unadhani spouse angependa kuona ndugu yake anahudumiwa kwa upendo na wewe basi fanya hivyo ili spouse awe na furaha zaid.
but ni ngumu sana kutimiliza haya as moyo wa mwanadamu umeumbwa na threshold point unless you take yourself into am worth nothing compared to my spouse then you can do it tena pasi kuchoka.
 
lakini saaasa mbn tunaambiwa ili nipende inabidi nijue kujipenda kwanza(SIYO TUNAAMBIWA HATA MIMI NAITUMIA SANA HII!)
like kwa kuwa najipenda na napenda kuwa na furaha basi nitahakikisha ninayempenda ana furha aili niwe na furaha kupitia furaha yake!sasa hapo si ndo hilo analosema Roulette au?
ahahahah inaeezekana hta kuelezea tu kupenda na kwenyewe ni kazi ati!
 
Last edited by a moderator:
as for me, love is defined according to two hearts intimacy. kama mtu hajakukaa moyoni na yeye kukukaa sidhan kama love can be as difficult as one can mention.

however love means doing something which pleases another person than it pleases you. like umeolewa/oa ikatokea shemeji akaugua sana basi ili kuonyesha upendo do what your spouse would wish you to do. kama unadhani spouse angependa kuona ndugu yake anahudumiwa kwa upendo na wewe basi fanya hivyo ili spouse awe na furaha zaid.
but ni ngumu sana kutimiliza haya as moyo wa mwanadamu umeumbwa na threshold point unless you take yourself into am worth nothing compared to my spouse then you can do it tena pasi kuchoka.
mwali na we kwa viinglish ah!
hebu tafsiri huko tuchangia mipwenti!
 
Back
Top Bottom