Salaam
Baada ya kufanikiwa kuwaunganisha watu kadhaa na wale wawapendao kwa lengo la kuanzisha familia/kuoana. Sasa tumeanza maandalizi ya Get Together Party itakayofanyika Dar es Salaam, Mwishoni...
Ukeketaji au kukatwa kwa sehemu za siri za mwanamke , inadhaniwa kuwaathiri angalau wanawake 66,000 nchini Uingereza.Mara nyingine kitendo hiki hufanyika kwa wasichana ambao hurejeshwa nyumbani...
They say it all happens in China. Over 50 young couples participated in a kissing competition in Hefei of Anhui province,China with some fainting on the spot from fatigue. In the end, a young...
Suppose at a certain holday u take a trip to the village,,together with ur mom,,dady n other siblings..few days pass by..u take ur everning walk along a footpath that through a forest,,after a...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina nia ya dhati,natafuta mke ambaye yuko tayari kwa kuolewa,natafuta mwanamke mwenye utayari wa kuolewa na sio maneno mengi na mitego ya maisha,yule tu...
++
Mwanamke hawezi kusahau silaha hizi pale awapo ktk makosa au anaposhindana kujihami.
++
I...MACHOZI
Hii ni silaha ambayo mwanamke amejaliwa.Baadhi ya wanawake wanapotaka kufanikisha jambo...
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Ndugu salam, kama nilivyojitambulisha jana, naitwa Lamar. Niliwahusisha mkasa nilioupata kwa mama dean, asanten kwa ushaur wenu. Niliamua kwenda magomen kupima afya kama mlivyonishaur weng wenu...
Ndoa ina miaka mitano. Tuna mjengo ambao bado una sua sua.
Hivi juzi tu nimedokezwa mke wangu kajenga kisirisiri kwao Bomangombe Moshi nyumba ya maana. Nimefnya utafiti na kujiridhisha ni kweli...
++
Ni wanaume wasiotunza siri.
++
Pengine unaweza kushangaa sana.Kote duniani,mwanamke anajulikana kwa kutoficha siri.Hupenda kugawana siri za mahusiano ya wanaume wao mbele ya wenzao kama...
Ni jijini Paris.
Full mipilau na kuku leo.
Police kudumisha ulinzi.
Bwana harusi 40yrs.
Bibi Harusi 30yrs.
Kukata keki kama kawa!!
Watu kibao wamearikwa.
Hii ni balaa na ni dalili za wazi...
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa...
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi...
Am looking for some mature (35+ years) professional men for chatting both silly and meaningful conversations online through email and private messages only.The men should be able to clearly...
kwa wale mlioniuliza nataka wa sifa zipi leo nazitaja baadhi,1.awe mzuri wa sura na shep 2,awe mkristo 3,awe anajiheshimu 4,rangi yoyte 5,kabila lolote
habari wapendwa,
Kwa wale ambao hatujaoa/kuolewa, je kuna umuhimu gani wa kuoa/kuolewa na Mcha Mungu (hapa siko upande wa dini yoyote)? Kwa kizazi hiki kwenye upande wa uaminifu,kuna tofauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.