Dean of Students nahisi ameniua.. Nifanye nini? (Party II)

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Ndugu salam, kama nilivyojitambulisha jana, naitwa Lamar. Niliwahusisha mkasa nilioupata kwa mama dean, asanten kwa ushaur wenu. Niliamua kwenda magomen kupima afya kama mlivyonishaur weng wenu, God is gud nimejikuta salama japo sijaenda kituo kingne kuchek afya kujiridhsha zaid. Nilipotoka angaza magomen nikiwa kinondon, yule mama alinipgia cm tukutane mgahawa wa Marry Brown pale Mlimani City, niliwaza nisiende lakin rafik yngu akashaur niende. Nilimkuta pale akiwa na mwanaye wa kike chotara coz mama huyo ana mume mzungu, alimuamuru mwanaye aende shoprite. Bdae akaniambia ananihtaj kwa maongez zaid na c hapa tena ila itakuwa nairobi jumamosi, hvyo anipe tiket na pesa ya hotel nitangulie ijumaa na yeye anikute huko jumamoc. Ckujbu lolote, akatoa cm mpya ya samsung gallaxy akanipa na noti tano za dola mia moja then akaondoka bila kunickiliza. Ucku nikamuandkia msg kuwa ctaweza kwenda cz najiandaa na mtihan wa kumaliza chuo, alijbu et kama nataka kudisco nisiende. Nifanyeje?
 
Tunza ushahidi huu wote wa SMS na kila alichokukabidhi ikiwemo simu na hizo hela. Tunza vizuri sana endelea na msimamo wako bila kuyumba
 
Hahaha nenda mwanangu chagua kuharibiwa maisha ama kumlizisha mama? Uzuri ngoma hana.
 
Tunza ushahidi vizuri pia nakushauri hivyo vitu usiwape watu wengine wavishike kwani endapo ushahidi utalazikika kufika mbali zaidi kuna vipimo vitaonyesha huo ushahidi aliudhika au ulitoka kwake. Matujo ni mjukuu
 
Acha ujinga, nenda kareport kwenye hire authorities, yet, at your own risk sababu ya mazongezonge uliyoyaendekeza wewe mwenyewe, kwa sababu ikibainika haukufanya field kama ulivyoeleza jana na ukapewa marks wewe unafit kabisa for termination of your studies.
 
Tunza ushahidi huu wote wa SMS na kila alichokukabidhi ikiwemo simu na hizo hela. Tunza vizuri sana endelea na msimamo wako bila kuyumba

Nafikiri huyo Dean wake anatumia madaraka yake vibaya! Naunga mkono pendekezo lako. Na pia ni vyema kumreport kwenye vyombo vya usalama ili vianze kumfuatilia huyo dean nyendo zake mapema.
 
Tunza ushahidi huu wote wa SMS na kila alichokukabidhi ikiwemo simu na hizo hela. Tunza vizuri sana endelea na msimamo wako bila kuyumba[Mshkaji keshakula ving vya huyo maza. Sasa ukimwambia aendelee na msimamo wake wakati mpaka nyumba kampangsha unategemea nini? Cha muhmu mshkaji na huyo maza wakapime ndipo awe na msimamo.
 
Acha ujinga, nenda kareport kwenye hire authorities, yet, at your own risk sababu ya mazongezonge uliyoyaendekeza wewe mwenyewe, kwa sababu ikibainika haukufanya field kama ulivyoeleza jana na ukapewa marks wewe unafit kabisa for termination of your studies.
anaenda kuripoti nini kwa mfano? na nyie mna ushauri wa ajabu, hamna cha kuripoti hapo chenye msingi
 
Mwanaume umekosa kabisa kauli baada kupewa hivyo vitu,inawezekanaje ukakosa kabisa kuongea nae?Au vitu ulivyopewa vilikufanya ukose la kusema?Hela na vitu anavyokupa huyo mama unavitaka na naona baada ya kujikuta salama huwezi kukosa kwenda hiyo safari.
Kwa wale ambao wanasema utunze ushahidi sidhani kama utakusaidia sana ukitaka kumshitaki maana hukulazimishwa uliamua wewe mwenyewe kuwepo katika uhusiano na usingekuja hapa kama mambo yako yangeenda kama ulivyotaka maana toka wakati unaanza kupokea vyote ulivyopokea basi ungekataa toka mwanzo si sasa.
Suluhisho la tatizo hili unalo wewe mwenyewe maana hapa tutabaki kukupa ushauri kumbe mwenzetu unapokea dola huku ukishindwa hata kusema lolote,ukirudi Nairobi njoo na stori sehemu ya tatu.
 
Ndugu salam, kama nilivyojitambulisha jana, naitwa Lamar. Niliwahusisha mkasa nilioupata kwa mama dean, asanten kwa ushaur wenu. Niliamua kwenda magomen kupima afya kama mlivyonishaur weng wenu, God is gud nimejikuta salama japo sijaenda kituo kingne kuchek afya kujiridhsha zaid. Nilipotoka angaza magomen nikiwa kinondon, yule mama alinipgia cm tukutane mgahawa wa Marry Brown pale Mlimani City, niliwaza nisiende lakin rafik yngu akashaur niende. Nilimkuta pale akiwa na mwanaye wa kike chotara coz mama huyo ana mume mzungu, alimuamuru mwanaye aende shoprite. Bdae akaniambia ananihtaj kwa maongez zaid na c hapa tena ila itakuwa nairobi jumamosi, hvyo anipe tiket na pesa ya hotel nitangulie ijumaa na yeye anikute huko jumamoc. Ckujbu lolote, akatoa cm mpya ya samsung gallaxy akanipa na noti tano za dola mia moja then akaondoka bila kunickiliza. Ucku nikamuandkia msg kuwa ctaweza kwenda cz najiandaa na mtihan wa kumaliza chuo, alijbu et kama nataka kudisco nisiende. Nifanyeje?

Acha ubwege wewe nenda kale bata kwani siku hizi hata ukimaliza chuo uatahaha mpaka ukome kikubwa kuwa muangalifu kwani huko mnaenda kukaa mwaka si just a week of four days ..Kula bata kumbuka zana tu mwanawane.nakutakia maraha mema ..utajifanya eti unakimbilia kwa wadada wenzio ambao mko folleni kama kumi wewe kula hilo limama na hata huyo mwanae akikaa sawa tafuna ..kwani wameumbiwa mbwa au nyani si wameumbiwa binadamu na wewe ndio mmoja wao..Kula bata mwanawane eboo
 
anaenda kuripoti nini kwa mfano? na nyie mna ushauri wa ajabu, hamna cha kuripoti hapo chenye msingi

kaka mimi siwaelewi wengine wameshakuwa one sided toka wamezaliwa ..halafu akishitaki ndio iweje huyo dean afukuzwe au???
 
Nafikiri huyo Dean wake anatumia madaraka yake vibaya! Naunga mkono pendekezo lako. Na pia ni vyema kumreport kwenye vyombo vya usalama ili vianze kumfuatilia huyo dean nyendo zake mapema.

kwani wanavyokuwa faragha kuna crown ya U dean inakuwa kitandani au ...acheni ushauri mfuu huyu dogo alishakula muda mrefu leo ndio anajishauwa mbona akipewa hiyo gallaxy na madola hayakatai anakuja kuyakataa JF huku akitumi hiyohiyo simu kupost thread za kumsema mpenzi wake..huyo dogo aache ushamba hiyo nafasi washikaji wanaitafuta muuzie Fidel08 faster...
 
Acha ujinga, nenda kareport kwenye hire authorities, yet, at your own risk sababu ya mazongezonge uliyoyaendekeza wewe mwenyewe, kwa sababu ikibainika haukufanya field kama ulivyoeleza jana na ukapewa marks wewe unafit kabisa for termination of your studies.

Yaani huyu ndio ya kwake akiyatoa hapa huwezi kuamini kama ndio aliyecooment hapa mangapi utareport hata kilichopo ndani ya uwezo wako unataka wakuamlie.?:heh::A S kiss:
 
Kwakua dean of student anahusika na kusikiliza matatizo ya wanafunzi, kama Baba V alivyokushauri mfate uyo dean ki-ofisi zaidi kwa ushauri nasaha kwa tatizo lako!
 
Last edited by a moderator:
ebwana niunganishie huo mchongo we kula dola mia 2 mi niachie hizo mia 3, mi nitaenda hata kama leo nitaunga na mafusso hadi namanga

nPM mkuu
 
kwani wanavyokuwa faragha kuna crown ya U dean inakuwa kitandani au ...acheni ushauri mfuu huyu dogo alishakula muda mrefu leo ndio anajishauwa mbona akipewa hiyo gallaxy na madola hayakatai anakuja kuyakataa JF huku akitumi hiyohiyo simu kupost thread za kumsema mpenzi wake..huyo dogo aache ushamba hiyo nafasi washikaji wanaitafuta muuzie Fidel08 faster...
Part 1 ya story yake inaonesha kuwa hakulazimishwa kuingia kwenye uhusiano, ulikuwa ni utashi wake na kujitapa na uhandsome wake
 
Nafikiri huyo Dean wake anatumia madaraka yake vibaya! Naunga mkono pendekezo lako. Na pia ni vyema kumreport kwenye vyombo vya usalama ili vianze kumfuatilia huyo dean nyendo zake mapema.

Jamaa tamaa zake ndo zimepelekea hayo yote...maana hapo itaanza vita ya visasi,,, huyu kijana akomae tu.... we cant go this time. ili atengeneze ushahidi mwingi, kwa kumvutia muda na huku akiwa anamrecord, kuhifadhi text... hizo atazitumia kumshikisha adabu..... tena bila hofu.... just tell her....ukiendelea kunisumbua ntakulipua,, ushahidi ni huu na huu,, sababu walimu wa vyuo wanashirikiana, ukimharibia mwenzao, na wewe utaharibiwa vile vile....be smart....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom