Mwanamke hataacha silaha hizi anapojihami

Mwanamke hataacha silaha hizi anapojihami

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
++
Mwanamke hawezi kusahau silaha hizi pale awapo ktk makosa au anaposhindana kujihami.
++

I...MACHOZI
Hii ni silaha ambayo mwanamke amejaliwa.Baadhi ya wanawake wanapotaka kufanikisha jambo kwa mwanaume basi ushawishi wao hudhihirishwa kwa machozi.Haya huyafanya anapojitetea kuwa yeye hakufanya jambo fulani au kwa wale ambao ni Mamakambo mf..hupenda kulia wanaposhitaki watoto wasio wao kwa baba zao.
Wenye wachumba pia huhadaiwa na machozi ya mwanamke ili kuficha ukweli uhusiano usiishe.

++
II...MENO
Hii ni silaha ambayo mwanamke akiamua kuitumia hasa anapokuwa mazingira hatarishi.Mwanaume hata awe baunsa kiasi gani,hawezi kumlazimisha kimapenzi mwanamke ikiwa tu Meno yatatumika vema Kung'ata sehemu muhimu za mwanaume.Ni silaha ambayo pengine wanaume wengi tu ndo wanaweza kuipunguza nguvu.

++
III...UONGO
Uongo ni silaha nyingine ya mwanamke kulinda uhusiano wake.Yuko tayari kusema lolote au kugeuza habari apendavyo ilimradi tu mwanaume asitoke nje ya himaya yake.
Wanajua waseme nini Kwa kasi ipi au kwa uwasilishaji upi ilimradi tu mwanaume akae sawa.Sina maana wanaume sio waongo La! Ni waongo Japo kwa ufundi,sanaa na ujuzi wa kuongopa Wanawake wanasitahili Medani.
++
 
Kilio hata wanaume siku hizi ni hodari kweli. Halafu uongo mbona ni middle name yao.
Badala ya meno, nyie mwatumia, vichwa, vibao na ngumi; wachache hutumia kichwa kidogo kikishirikiana na vitenis. Source Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Mbinu kubwa ya kuzishinda hizo silaha ni hoja nzito tu.
Hoja ndio silaha kubwa sana ya kumshinda mwanamke.
Mtu unamweka ndani ya kumi na nane kila kitu kitakuwa peupe
 

Attachments

  • Ak47.jpg
    Ak47.jpg
    8 KB · Views: 87
Mbinu kubwa ya kuzishinda hizo silaha ni hoja nzito tu.
Hoja ndio silaha kubwa sana ya kumshinda mwanamke.
Mtu unamweka ndani ya kumi na nane kila kitu kitakuwa peupe

++
Tena uwe hucheki,,ukicheka tu anajua utani.
++
 
Mbinu kubwa ya kuzishinda hizo silaha ni hoja nzito tu.
Hoja ndio silaha kubwa sana ya kumshinda mwanamke.
Mtu unamweka ndani ya kumi na nane kila kitu kitakuwa peupe
hata aliyejenga kwao kwa siri unaweza kumbana kwa staili hii ukafanikiwa!!
 
Kilio hata wanaume siku hizi ni hodari kweli. Halafu uongo mbona ni middle name yao.
Badala ya meno, nyie mwatumia, vichwa, vibao na ngumi; wachache hutumia kichwa kidogo kikishirikiana na vitenis. Source Kongosho

++
Kaunga
Mwanaume hategemei chozi kujihami Ukiona mwanaume amelia Akitoka hapo kuna mawili,,kuishia gerezani au hospitali.
Pia
Kama nilivosema awali,,sote hufika mahali uongo ukatumika kulinda penzi Lakini wanawake grafu yenu imezidi maana kuanzia ahadi feki,,kuficha mahusiano ya nje n.k mna bidii isiyoweza kuelezwa kwa maneno.
++
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom