Mcha Mungu ama asiye Mcha Mungu?

Mcha Mungu ama asiye Mcha Mungu?

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
360
habari wapendwa,

Kwa wale ambao hatujaoa/kuolewa, je kuna umuhimu gani wa kuoa/kuolewa na Mcha Mungu (hapa siko upande wa dini yoyote)? Kwa kizazi hiki kwenye upande wa uaminifu,kuna tofauti ya mcha Mungu na asie mcha MUNGU?

the so called "Fear of GOD" ina nafasi gani katika mahusiano ama kwenye ndoa? Hebu mliopo kwenye ndoa mtupe mawazo yenu kuhusu hili
 
Inategemeana na m2;
Kwanza kipimo cha ucha Mungu ni kipi?
 
habari wapendwa,

Kwa wale ambao hatujaoa/kuolewa, je kuna umuhimu gani wa kuoa/kuolewa na Mcha Mungu (hapa siko upande wa dini yoyote)? Kwa kizazi hiki kwenye upande wa uaminifu,kuna tofauti ya mcha Mungu na asie mcha MUNGU?

the so called "Fear of GOD" ina nafasi gani katika mahusiano ama kwenye ndoa? Hebu mliopo kwenye ndoa mtupe mawazo yenu kuhusu hili
Umuhimu upo kama kweli wacha Mungu wangekuwa wacha Mungu ki kweli kweli ...
Lakini baadhi yao, ni kama wanatumia miamvuli ya dini kuficha maovu yao na mbaya zaidi ni ngumu sana kugundua mcha Mungu halisi na yule feki mpaka uishi naye au walio kaibu naye wakusaidie kukupa taarifa.

Umuhimu ni kuwa na mtu mwaminifu, ambaye huenda akawa committed na familia yake na kuiongoza ktk njia ziipasayo familia kuifuata. Pia faida nyingine ni kujenga heshima ya ndoa na familia kwa ujumla, kuondokana na presha ya kuibiwa au kujiingiza kwenye mambo yasiyo ya uaminifu, kuvumiliana, kusaidiana kwa sababu ya hofu ya Mungu nk nk
 
Back
Top Bottom