does virginity matter these days?

does virginity matter these days?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
do you think virginity is still important in the world we are living today? what is your say....
 
When did it ever matter?

And what significant difference does it make if one has it or not?
 
What is virginity?

Tusije kubishana vitu tofauti, kuna purists wengine cherry ikipasuka kwa kupanda farasi si virgin.

Na mtaalam wa bj ambaye hajaguswa Kowloon Triangle naye virgin au?

Porn star ambaye kazi yake ni kuongea kila aina ya style kwenye simu lakini hajaguswa naye virgin?

Tunaongelea physical virginity tu au mpaka mental? Tutaipimaje? Kipimo chake kikoje?
 
Siku hizi kuna sealed za kichina, mtoto anajifanya sealed lakin ukimfiksha 'garaje' mwenyewe anaanza kushusha kila kitu mpaka kufuli, yaaan hakuna woga wala nini mpaka unajiuliza mbona ni mzoefu kuliko wife mwenye uzoef wa kuchezea shaft kwa 34 years? Tujihadhari na bikra za Mzimbabwe zinazotengenezwa Ilala Dsm Mtaa Moshi nyumba na.49 kwa gharama ya laki na nusu na upunguf unaongea.Huyu mama ni Hatari anarudisha mpaka Linda zilizopotea kwa kifilo!
 
sidhani kama ina matter kwa sasa kwani wewe unayo?
 
Siku hizi kuna sealed za
kichina, mtoto anajifanya sealed lakin ukimfiksha 'garaje' mwenyewe
anaanza kushusha kila kitu mpaka kufuli, yaaan hakuna woga wala nini
mpaka unajiuliza mbona ni mzoefu kuliko wife mwenye uzoef wa kuchezea
shaft kwa 34 years? Tujihadhari na bikra za Mzimbabwe zinazotengenezwa
Ilala Dsm Mtaa Moshi nyumba na.49 kwa gharama ya laki na nusu na upunguf
unaongea.Huyu mama ni Hatari anarudisha mpaka Linda zilizopotea kwa
kifilo!

duuh hii kali
 
Aisee
Hujauliza kuhusu backyard, maana waweza tunza ya front; ukaruhusu backyard exploration.
What is virginity?

Tusije kubishana vitu tofauti, kuna purists wengine cherry ikipasuka kwa kupanda farasi si virgin.

Na mtaalam wa bj ambaye hajaguswa Kowloon Triangle naye virgin au?

Porn star ambaye kazi yake ni kuongea kila aina ya style kwenye simu lakini hajaguswa naye virgin?

Tunaongelea physical virginity tu au mpaka mental? Tutaipimaje? Kipimo chake kikoje?
 
Bado ina matter sana,sema vijana ndiyo wanakimbilia mambo kabla ya wakati wake,mie binafsi nilimuoa mke wangu akiwa bado bikira baada ya kukaa naye kwenye uhusiano kwa miaka 7 bila ya kumgusa,usiku wa harusi tulilala pamoja pale ndipo nilipofurahia zaidi...

Inakupa uhakika wa mpenzi wako ni mwaminifu na anauwezo wa kujilinda,Uwezi kuwa na wivu wowote juu ya mkeo na inamwongezea mwanamke kujiamini sana pale anapokuwa ameolewa na mtu aliyemtoa bikira yake na pia si rahisi kumshawishi kwa pesa,magari,kazi n.k ili akupe penzi.
Mwisho kwenye tendo la ndoa sehemu ya uke inakuwa inabana vizuri sana na utafurahia kwa miaka yako ya ndoa..sababu inakuwa haijachoka na wala kuchoshwa na wapitaji..
Nizawadi ya ushindi pia.
 
Na wewe ulikuwa bikira?
Yeye hapaswi kujiamini kuwa mume wangu hawezi kunisaliti kwa vile mimi ni mwanamke wake wa kwanza?
Bado ina matter sana,sema vijana ndiyo wanakimbilia mambo kabla ya wakati wake,mie binafsi nilimuoa mke wangu akiwa bado bikira baada ya kukaa naye kwenye uhusiano kwa miaka 7 bila ya kumgusa,usiku wa harusi tulilala pamoja pale ndipo nilipofurahia zaidi...

Inakupa uhakika wa mpenzi wako ni mwaminifu na anauwezo wa kujilinda,Uwezi kuwa na wivu wowote juu ya mkeo na inamwongezea mwanamke kujiamini sana pale anapokuwa ameolewa na mtu aliyemtoa bikira yake na pia si rahisi kumshawishi kwa pesa,magari,kazi n.k ili akupe penzi.
Mwisho kwenye tendo la ndoa sehemu ya uke inakuwa inabana vizuri sana na utafurahia kwa miaka yako ya ndoa..sababu inakuwa haijachoka na wala kuchoshwa na wapitaji..
Nizawadi ya ushindi pia.
 
huyu binadamu wa sasa ana virginity kama alfu, zote tunazihesabu?
 
Siku hizi kuna sealed za kichina, mtoto anajifanya sealed lakin ukimfiksha 'garaje' mwenyewe anaanza kushusha kila kitu mpaka kufuli, yaaan hakuna woga wala nini mpaka unajiuliza mbona ni mzoefu kuliko wife mwenye uzoef wa kuchezea shaft kwa 34 years? Tujihadhari na bikra za Mzimbabwe zinazotengenezwa Ilala Dsm Mtaa Moshi nyumba na.49 kwa gharama ya laki na nusu na upunguf unaongea.Huyu mama ni Hatari anarudisha mpaka Linda zilizopotea kwa kifilo!

Duh tutakuja uziwa mbuzi kwny gunia hvhv
 
do you think virginity is still important in the world we are living today? what is your say....

let me just say mie mgegedaji ila ukweli virginity ni muhimu sana kwa pande zote mbili wanaume na wanawake.
it shows kuwa huyu mtu anajithamini anajijali.
wote tunaogegedana kabla ya ndoa hatujithamini either way u look at it..
virty sio ile plasta bwana it says alot more about a person...patience!!! tatizo ulimwengu wa sasa vijana tunapupa sana either be it kugegeda au kupata mafanikio. hiyo patience pia ndio solid foundation ya relationships ...sasa since wengi wetu sio virgins basi hatuna ule moyo wa uvimilivu ndio maana ata relationships nazo hazidumu
so in short virgity saya alot abt the persons character provided aliwi kabang!!
 
Bado ina matter sana,sema vijana ndiyo wanakimbilia mambo kabla ya wakati wake,mie binafsi nilimuoa mke wangu akiwa bado bikira baada ya kukaa naye kwenye uhusiano kwa miaka 7 bila ya kumgusa,usiku wa harusi tulilala pamoja pale ndipo nilipofurahia zaidi...

Inakupa uhakika wa mpenzi wako ni mwaminifu na anauwezo wa kujilinda,Uwezi kuwa na wivu wowote juu ya mkeo na inamwongezea mwanamke kujiamini sana pale anapokuwa ameolewa na mtu aliyemtoa bikira yake na pia si rahisi kumshawishi kwa pesa,magari,kazi n.k ili akupe penzi.
Mwisho kwenye tendo la ndoa sehemu ya uke inakuwa inabana vizuri sana na utafurahia kwa miaka yako ya ndoa..sababu inakuwa haijachoka na wala kuchoshwa na wapitaji..
Nizawadi ya ushindi pia.

hapo umenena mkuu.
 
do you think virginity is still important in the world we are living today? what is your say....
Sijui dunia ikoje,Mwanamke akitumika sana,yaani asipokuwa virgin anaonekana kwa maumbile yake,but mwanaume ngumu kujua au kama kuna wanaojua watujuze,inabaki tu kuangalia tabia yake kama analijua tundu lilipo kama hajui waweza sema huyo nae ni virgin?
Pia kama mkiwa wote ni virgin je kigezo hicho mnaweza mkawa waaminifu wote ktk ndoa? Imezoeleka kuhitaji sana mwanamke awe virgin,ok je akiwa hivyo mwanamme au wote watakuwa waaminifu ktk ndoa?au watafanya lakini kwa heshima?
Kwanini watu wanapenda virgin?
majibu ambayo vijana huyatoa ni kuwa anakuwa na uhakika nenda muda wowote lazima akihitaji Papuchi anapata hata kama hajamuoa.
Tukirudi ktk maadili ya kiroho Virginity do matter,coz inaonekana wote jinsi mlivyojitunza,pia ilionekanakujenga uaminifu,lakini sasaivi je?labda waliokuwa na ndoa zao au long relationship wanaweza kutujuza zaidi...
 
Virginity unayozungumzia!? maana ziko nyingi!? hebu funguka Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom